Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025

Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,821
1: Diara
2: Yao
3:Boka
4:Job
5:Bacca
6: Aucho
7 Pacome
8:Max zengeli
9 Dube
10: Ki Aziz
11:Chama

Ratiba inasemaje sisi na wao lini??
Screenshot_20240701-122103.jpg
 
4-3-3 ndio hatari zaidi,hiyo 4-2-3-1 itabidi max aanze bench,tunaanza na Mudathir
4-2-3-1 italeta balance zaidi kama kwenye mechi ngumu unakuwa na viungo wa kukaba wawili ila kama mechi hizi za ligi ya bongo unaenda 4-3-3 unaanza na kiungo mkabaji mmoja tu AUCHO then mbele yake MAX na Pacome
 
kikicheza mfumo wa 4-2-3-1 au 4-3-3 ndo kitakuwa na hatari zaidi
4231 inawezekana japo chama atakuwa chini sana akiungana na Aucho kitu ambacho si sawa sababu ubora wake upo karibu na goli. Labda kama Zengeli ataingia kati na Chama akitokea pembeni kama Benchika alivyokuwa anafanya.

433 haiwezekani kabisa kwa hii timu. Burden kubwa itakuwa kwa Aucho ambaye hayupo mobile, Auchi anahitaji double pivot kumruhusu kuroam forward ili aoneshe ubora wake kama kipindi anacheza na Yanick Bangala

The best formation ni 4 diamond 3, kwa hii timu utapata the optimal performance & result. Zengeli na Pacome ni wazuri kukaba hivyo watakuwa karibu na aucho kumsaidia majukumu timu inapopoteza mpira
 
4231 max bench,anaanza Mudathir
 
4-2-3-1 italeta balance zaidi kama kwenye mechi ngumu unakuwa na viungo wa kukaba wawili ila kama mechi hizi za ligi ya bongo unaenda 4-3-3 unaanza na kiungo mkabaji mmoja tu AUCHO then mbele yake MAX na Pacome
Huu usajili umefanyika kwa sababu ya Champions league, kwenye timu zenye ubora wa capitalize madhaifu yako, wala hatutakiwi kufikiria timu za ndani, hivyo 4231 kwa champions league dhidi ya timu kama Al ahly etc bado timu itaonekana kukosa balance. Kwangu 4231/ 433 zote sio optimal systems kwa aina hiyo ya kukosi
 
4231 inawezekana japo chama atakuwa chini sana akiungana na Aucho kitu ambacho si sawa sababu ubora wake upo karibu na goli. Labda kama Zengeli ataingia kati na Chama akitokea pembeni kama Benchika alivyokuwa anafanya.

433 haiwezekani kabisa kwa hii timu. Burden kubwa itakuwa kwa Aucho ambaye hayupo mobile, Auchi anahitaji double pivot kumruhusu kuroam forward ili aoneshe ubora wake kama kipindi anacheza na Yanick Bangala

The best formation ni 4 diamond 3, kwa hii timu utapata the optimal performance & result. Zengeli na Pacome ni wazuri kukaba hivyo watakuwa karibu na aucho kumsaidia majukumu timu inapopoteza mpira
Umefikiria kama mimi japo kwenye mfumo wa 4-3-3 ambao unasema hauwezekani ndo ambao watautumia zaidi na kunufaika nao kwa maana vyovyote itakavyokuwa itakuwa ngumu kuanza na viungo wote kwa pamoja lazima wengine wasubiri nje kitu ambacho kitaipa timu faida maana akitoka mtu anaingia mtu.
 
4231 max bench,anaanza Mudathir
Chama anatokea pembeni? kama ni hivyo aina tofauti na nilivyosema Zengeli aingie ndani na Chama atokee pembeni, upo sahihi sababu naamini Mudathir ni kati ya wachezaji wachache wa TZ wenye vipaji vikubwa na wanaojua ball.
 
Vipi kwa Mpira wa kisasa,Bado yanga anahitaji winga teleza kama Morrison,mtu wa kumwaga maji??au tuendelee kutumia wing backs??
 
Umefikiria kama mimi japo kwenye mfumo wa 4-3-3 ambao unasema hauwezekani ndo ambao watautumia zaidi na kunufaika nao kwa maana vyovyote itakavyokuwa itakuwa ngumu kuanza na viungo wote kwa pamoja lazima wengine wasubiri nje kitu ambacho kitaipa timu faida maana akitoka mtu anaingia mtu.
433 ni nzuri kwa timu zisizo na threat kwenye ushambuliaji lkn dhidi ya the best teams ni hatari sn sababu timu haina wakabaji katikati, mkabaji ni aucho tu ambaye naye yupo limited to some extent, Aucho sio full package #6, and that's a problem.
 
Vipi kwa Mpira wa kisasa,Bado yanga anahitaji winga teleza kama Morrison,mtu wa kumwaga maji??au tuendelee kutumia wing backs??
Wakipatikana sokoni inakuwa vizuri kwa kuleta upana wa kikosi maana timu inakuwa na uwezo wa kucheza mifumo tofauti kutokana na mahitaji ya mechi husika lakini pia kuleta ubora kwenye upande wa tactics.Kwa mfano ukikutana na timu zinazokabia low block unakuwa unahitaji mawinga ili kuweza kuwastretch na kutengeneza zile 1v1 ambapo hapo watu kama kina Morisson wanakupa faida.
 
433 ni nzuri kwa timu zisizo na threat kwenye ushambuliaji lkn dhidi ya the best teams ni hatari sn sababu timu haina wakabaji katikati, mkabaji ni aucho tu ambaye naye yupo limited to some extent, Aucho sio full package #6, and that's a problem.
Tusipo sajili number 6 mgumu,tumeisha..anatakiwa mtu wa kukata umeme typical number 6 kama ngolo kante,makelele,Fraga,Mukoko,
 
Wakipatikana sokoni inakuwa vizuri kwa kuleta upana wa kikosi maana timu inakuwa na uwezo wa kucheza mifumo tofauti kutokana na mahitaji ya mechi husika lakini pia kuleta ubora kwenye upande wa tactics.Kwa mfano ukikutana na timu zinazokabia low block unakuwa unahitaji mawinga ili kuweza kuwastretch na kutengeneza zile 1v1 ambapo hapo watu kama kina Morisson wanakupa faida.
Okrah na skudu wamefeli,je Lyanga anaweza kua suluhu?? Hakuna tetesi za Yanga kumtaka winger??
 
Back
Top Bottom