Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025

Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025

Tusipo sajili number 6 mgumu,tumeisha..anatakiwa mtu wa kukata umeme typical number 6 kama ngolo kante,makelele,Fraga,Mukoko,
katika eneo ambalo linasumbua sana ni hilo la kiungo mkabaji aisee natamani sana tungempata yule Adolf Bitegeko wa AZAM
 
Ndala angekua mtanzania nae angefaa,Au Bajana angekua free..ila wapo kwenye ligi wazawa wa kukichafua
 
Okrah na skudu wamefeli,je Lyanga anaweza kua suluhu?? Hakuna tetesi za Yanga kumtaka winger??
Winger alikuwa Kinzumbi il ndo waarabu washapita nae ila naamini wanahitajika mawinga tena mawinga kweli ili tukicheza mechi ngumu kama ile ya Mamelodi Sundowns tunakuwa na uwezo wa kuwamaliza on transition na counter attack kama wanavyofanya Spain kwenye euro 2024 na wale watoto wao wawili Nico Williams na Lamine Yamal.
 
Any recommendation kwa mzawa??
 
Watanzania Kwa siasa hamjambo,, utafikir anaongelea man city au Madrid
 
kikicheza mfumo wa 4-2-3-1 au 4-3-3 ndo kitakuwa na hatari zaidi
Yes Kwa 4-2-3-1 itakua n danger sana maana hapo Kati watazima Max na Aucho japo max atakua Huru zaidi...

Juu kidogo kushoto Aziz Kati Chama kulia Pacome.... Mbele Yuko mwana mfalme Prince Dube... Alooo we Huogopi... [emoji81][emoji81][emoji81]
 
Taratibuu mkuu,watalia Lia kuhusu financial fair play..malalamiko Fc
 
Any recommendation kwa mzawa??
kuna mtoto yupo KMC anaitwa George Makang'a ni winga mzuri sana ana speed na uwezo wa kufunga halafu kuna winga mwingine yupoNamungo anaitwa Ibrahim Mkoko kama sikosei lakini pia Ayoub Lyanga itakuwa ni usajili mzuri sana maana ana speed n anajua kufanya link up na ni mtaalamu wa mipira iliyokufa.
 
Ahahaaa siamini...kumbe nyuma mwiko mlikua mnuota Chama...
 
Winger alikuwa Kinzumbi il ndo waarabu washapita nae ila naamini wanahitajika mawinga tena mawinga kweli ili tukicheza mechi ngumu kama ile ya Mamelodi Sundowns tunakuwa na uwezo wa kuwamaliza on transition na counter attack kama wanavyofanya Spain kwenye euro 2024 na wale watoto wao wawili Nico Williams na Lamine Yamal.
Wale madogo wa Spain wanatembea sana kaka, Yanga ingemsajili Kinzumbi ingekuwa imelamba karata dume.
 
kuna mtoto yupo KMC anaitwa George Makang'a ni winga mzuri sana ana speed na uwezo wa kufunga halafu kuna winga mwingine yupoNamungo anaitwa Ibrahim Mkoko kama sikosei lakini pia Ayoub Lyanga itakuwa ni usajili mzuri sana maana ana speed n anajua kufanya link up na ni mtaalamu wa mipira iliyokufa.
Ayoub Lyanda namuomaga ni mzuri, hivi anafeligi wapi kuwika huyu kijana?
 
1: Diara
2: Yao
3:Boka
4:Job
5:Bacca
6: Aucho
7 Pacome
8:Max zengeli
9 Dube
10: Ki Aziz
11:Chama

Ratiba inasemaje sisi na wao lini??
View attachment 3030517
Ila kwa uzoefu wangu, nategemea uongozi utazingatia backup ya ukweli ya wachezaji kama Chama, Dube, Aucho na Pacome.

Na hapa nimezingatia kigezo cha umri na majeraha. All in all, kikosi ni kizuri.
 
Tukipata mtu wa kumpa challenge Aucho pale kati ndo tutakuwa balanced zaidi. Saivi akiumia tu Aucho, stress zinaanza.
 
Exactly, hata Yao anahitaji backup, kibwana hatoshi kwenye viatu vyake.
 
Vipi kwa Mpira wa kisasa,Bado yanga anahitaji winga teleza kama Morrison,mtu wa kumwaga maji??au tuendelee kutumia wing backs??
Mwalimu mifumo yake haina uhitaji wa Winger, sajili zao zote zitaonekana zinafeli kwa mifumo yake mwalimu. Tuwatafutie changamoto Yao na huyo Boka ili wasiwe relaxed kwamba namba zao ni uhakika. Kibwana na kibabage hawatoi challenge inayotosha kwao.
 
Tukipata mtu wa kumpa challenge Aucho pale kati ndo tutakuwa balanced zaidi. Saivi akiumia tu Aucho, stress zinaanza.
Yule dogo Adolf Mtasingwa wa Azam angepewa mkataba, Aucho angepata wakati mgumu sana. Maana dogo anakaba mpaka kivuli. Binafsi namkubali sana.
 
Back
Top Bottom