Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025

Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025

Yule dogo Adolf Mtasingwa wa Azam angepewa mkataba, Aucho angepata wakati mgumu sana. Maana dogo anakaba mpaka kivuli. Binafsi namkubali sana.
Hii transfer window bila kupata Mbadala wa uhakika wa Aucho, hakuna cha maana tutakuwa tumefanya.
 
kikicheza mfumo wa 4-2-3-1 au 4-3-3 ndo kitakuwa na hatari zaidi
Kocha akiweza kuifundisha 3-5-2 tutakuwa tishio. Nabi alijaribu ila naona aliona mapokeo kwa wachezaji wetu ni madogo. Djuma shabani alikuwa anazidiwa sana kwenye kurudi.
 
Tukipata mtu wa kumpa challenge Aucho pale kati ndo tutakuwa balanced zaidi. Saivi akiumia tu Aucho, stress zinaanza.
Number sita kweli changamoto,na kama umegundua Aucho huwa anacheza Dakika 60 tu mechi Ngumu,baadae anachoka anavuta watoto mashati,
 
Number sita kweli changamoto,na kama umegundua Aucho huwa anacheza Dakika 60 tu mechi Ngumu,baadae anachoka anavuta watoto mashati,
Focus yetu na top priority nadhani iwekwe hapo,
Yule Aweso Aweso pia angepatikana, angempa challenge Mudathir ila nadhani usimba wake ndo unafanya viongozi wampotezee.
 
Focus yetu na top priority nadhani iwekwe hapo,
Yule Aweso Aweso pia angepatikana, angempa challenge Mudathir ila nadhani usimba wake ndo unafanya viongozi wampotezee.
Aweso ndugu hapana,Bora Nasoro kapama,nimeangalia game nyingi za mtibwa,jamaa yupo vizuri Sana.. Mudathir kwani atacheza?? Mudathir bench anamsubiria Max zengeli
 
Aweso ndugu hapana,Bora Nasoro kapama,nimeangalia game nyingi za mtibwa,jamaa yupo vizuri Sana.. Mudathir kwani atacheza?? Mudathir bench anamsubiria Max zengeli
Sawa mkuu, Kapama na yule dogo mwinuke wamekiwasha sana pale Mtibwa nusu msimu huu.
 
Back
Top Bottom