katika eneo ambalo linasumbua sana ni hilo la kiungo mkabaji aisee natamani sana tungempata yule Adolf Bitegeko wa AZAMTusipo sajili number 6 mgumu,tumeisha..anatakiwa mtu wa kukata umeme typical number 6 kama ngolo kante,makelele,Fraga,Mukoko,
Ndala angekua mtanzania nae angefaa,Au Bajana angekua free..ila wapo kwenye ligi wazawa wa kukichafuakatika eneo ambalo linasumbua sana ni hilo la kiungo mkabaji aisee natamani sana tungempata yule Adolf Bitegeko wa AZAM
Winger alikuwa Kinzumbi il ndo waarabu washapita nae ila naamini wanahitajika mawinga tena mawinga kweli ili tukicheza mechi ngumu kama ile ya Mamelodi Sundowns tunakuwa na uwezo wa kuwamaliza on transition na counter attack kama wanavyofanya Spain kwenye euro 2024 na wale watoto wao wawili Nico Williams na Lamine Yamal.Okrah na skudu wamefeli,je Lyanga anaweza kua suluhu?? Hakuna tetesi za Yanga kumtaka winger??
Any recommendation kwa mzawa??Winger alikuwa Kinzumbi il ndo waarabu washapita nae ila naamini wanahitajika mawinga tena mawinga kweli ili tukicheza mechi ngumu kama ile ya Mamelodi Sundowns tunakuwa na uwezo wa kuwamaliza on transition na counter attack kama wanavyofanya Spain kwenye euro 2024 na wale watoto wao wawili Nico Williams na Lamine Yamal.
Yes Kwa 4-2-3-1 itakua n danger sana maana hapo Kati watazima Max na Aucho japo max atakua Huru zaidi...kikicheza mfumo wa 4-2-3-1 au 4-3-3 ndo kitakuwa na hatari zaidi
Andika bila kulia [emoji88][emoji2957]Watanzania Kwa siasa hamjambo,, utafikir anaongelea man city au Madrid
Taratibuu mkuu,watalia Lia kuhusu financial fair play..malalamiko FcYes Kwa 4-2-3-1 itakua n danger sana maana hapo Kati watazima Max na Aucho japo max atakua Huru zaidi...
Juu kidogo kushoto Aziz Kati Chama kulia Pacome.... Mbele Yuko mwana mfalme Prince Dube... Alooo we Huogopi... [emoji81][emoji81][emoji81]
kuna mtoto yupo KMC anaitwa George Makang'a ni winga mzuri sana ana speed na uwezo wa kufunga halafu kuna winga mwingine yupoNamungo anaitwa Ibrahim Mkoko kama sikosei lakini pia Ayoub Lyanga itakuwa ni usajili mzuri sana maana ana speed n anajua kufanya link up na ni mtaalamu wa mipira iliyokufa.Any recommendation kwa mzawa??
Duh! Hili timu kuna mtu atapona kweli?1: Diara
2: Yao
3:Boka
4:Job
5:Bacca
6: Aucho
7 Pacome
8:Max zengeli
9 Dube
10: Ki Aziz
11:Chama
Ratiba inasemaje sisi na wao lini??
View attachment 3030517
Wale madogo wa Spain wanatembea sana kaka, Yanga ingemsajili Kinzumbi ingekuwa imelamba karata dume.Winger alikuwa Kinzumbi il ndo waarabu washapita nae ila naamini wanahitajika mawinga tena mawinga kweli ili tukicheza mechi ngumu kama ile ya Mamelodi Sundowns tunakuwa na uwezo wa kuwamaliza on transition na counter attack kama wanavyofanya Spain kwenye euro 2024 na wale watoto wao wawili Nico Williams na Lamine Yamal.
Ayoub Lyanda namuomaga ni mzuri, hivi anafeligi wapi kuwika huyu kijana?kuna mtoto yupo KMC anaitwa George Makang'a ni winga mzuri sana ana speed na uwezo wa kufunga halafu kuna winga mwingine yupoNamungo anaitwa Ibrahim Mkoko kama sikosei lakini pia Ayoub Lyanga itakuwa ni usajili mzuri sana maana ana speed n anajua kufanya link up na ni mtaalamu wa mipira iliyokufa.
Ila kwa uzoefu wangu, nategemea uongozi utazingatia backup ya ukweli ya wachezaji kama Chama, Dube, Aucho na Pacome.1: Diara
2: Yao
3:Boka
4:Job
5:Bacca
6: Aucho
7 Pacome
8:Max zengeli
9 Dube
10: Ki Aziz
11:Chama
Ratiba inasemaje sisi na wao lini??
View attachment 3030517
Exactly, hata Yao anahitaji backup, kibwana hatoshi kwenye viatu vyake.Ila kwa uzoefu wangu, nategemea uongozi utazingatia backup ya ukweli ya wachezaji kama Chama, Dube, Aucho na Pacome.
Na hapa nimezingatia kigezo cha umri na majeraha. All in all, kikosi ni kizuri.
Mwalimu mifumo yake haina uhitaji wa Winger, sajili zao zote zitaonekana zinafeli kwa mifumo yake mwalimu. Tuwatafutie changamoto Yao na huyo Boka ili wasiwe relaxed kwamba namba zao ni uhakika. Kibwana na kibabage hawatoi challenge inayotosha kwao.Vipi kwa Mpira wa kisasa,Bado yanga anahitaji winga teleza kama Morrison,mtu wa kumwaga maji??au tuendelee kutumia wing backs??
Yule dogo Adolf Mtasingwa wa Azam angepewa mkataba, Aucho angepata wakati mgumu sana. Maana dogo anakaba mpaka kivuli. Binafsi namkubali sana.Tukipata mtu wa kumpa challenge Aucho pale kati ndo tutakuwa balanced zaidi. Saivi akiumia tu Aucho, stress zinaanza.