Kikosi changu cha kwanza, round ya kwanza msimu huu

Kikosi changu cha kwanza, round ya kwanza msimu huu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
1. Mousa Kamala(Simba)
2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga)
3. Paschal Msindo(Azam)
4. Abdulazak Hamza(Simba)
5 Ibrahim Bacca (Yanga)
6. Nelson Munganga (Tabora United)
7. Pacome Zouzou (Yanga)
8. Marouf Tchakei(Singida BS)
9. Elvis Rupia(Singida BS)
10. Feisal Salum (Azam)
11. Max Nzengeli (Yanga)

Kwa hii timu Yangu round ya Kwanza hakuna timu ya kunifunga

Leta first 11 yako
 
1. Mousa Kamala(Simba)
2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga)
3. Paschal Msindo(Azam)
4. Abdulazak Hamza(Simba)
5 Ibrahim Bacca (Yanga)
6. Nelson Munganga (Tabora United)
7.pacome Zouzou (Yanga)
8.Marouf Tchakei(Singida BS)
9. Elvis Rupia(Singida BS)
10. Feisal Salum (Azam)
11. Max Nzengeli (Yanga)

Kwa hii timu Yangu round ya Kwanza hakuna timu ya kunifunga

Leta first 11 yako
Bacca hana msimu mzuri pamoja na magoli yake ya mkono ila si mind sana kuwepo kwake.

Yao hajacheza vya kutosha, Kapombe yuko kwenye kiwango bora sana msimu huu.

Max pia hajacheza vya kutosha msimu huu ingawa huu ulikuwa unaenda kuwa msimu wake upande wa Yanga.

Ngoma ana msimu mzuri pia ikiwemo kufunga magoli muhimu kwa kinara wa ligi.

Unamuachaje Ahoua mchezaji anayeongoza kwa assist + magoli?
 
Bacca hana msimu mzuri pamoja na magoli yake ya mkono ila si mind sana kuwepo kwake. Yao hajacheza vya kutosha, Kapombe yuko kwenye kiwango bora sana msimu huu. Max pia hajacheza vya kutosha msimu huu ingawa huu ulikuwa unaenda kuwa msimu wake upande wa Yanga. Ngoma ana msimu mzuri pia. Unamuachaje Ahoua mchezaji anayeongoza kwa assist+magoli?
Hiyo ni timu yake.. leta yako
 
Bacca hana msimu mzuri pamoja na magoli yake ya mkono ila si mind sana kuwepo kwake. Yao hajacheza vya kutosha, Kapombe yuko kwenye kiwango bora sana msimu huu. Max pia hajacheza vya kutosha msimu huu ingawa huu ulikuwa unaenda kuwa msimu wake upande wa Yanga. Ngoma ana msimu mzuri pia ikiwemo kufunga magoli muhimu kwa kinara wa ligi. Unamuachaje Ahoua mchezaji anayeongoza kwa assist+magoli?
Hakuna beki Bora kwenye hii ligi kama Bacca
Yao upande beki wa kushoto ni best ana kila kitu
Kama humjui Max Kamuulize Chasambi
Ngoma sawa Yuko vizuri ila sio mkabaji mzuri kama Nelson Munganga fuatilia Munganga ni best
Ahoua siyo mchezaji mzuri acha ushabiki, ubora katika penalties, huyo mchezaji ni Zoro Zoro amelegea kama mlenda
 
Kwani Yao ni beki wa kulia au kushoto? Point ni kuwa hajacheza vya kutosha kuingia katika list hiyo
Nasikia mnamtamani na Chasambi, uto bana. Max ni mchezaji mzuri ila rudia nilichosema hapo juu. Ahoua kafunga magoli ya kutosha ya open play na penati ni ufundi pia na anazitwanga kwelikweli habahatishi. Cha kuchekesha anatusanifu kwa kufunga penati kwa slow motion eti kwa kuwa tunamsema yuko slow.
 
Jitibie hilo tatizo lako la kichwani
Mwaka mpya 2025 usiingie nalo
 
1. Mousa Kamala(Simba)
2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga)
3. Paschal Msindo(Azam)
4. Abdulazak Hamza(Simba)
5 Ibrahim Bacca (Yanga)
6. Nelson Munganga (Tabora United)
7.pacome Zouzou (Yanga)
8.Marouf Tchakei(Singida BS)
9. Elvis Rupia(Singida BS)
10. Feisal Salum (Azam)
11. Max Nzengeli (Yanga)

Kwa hii timu Yangu round ya Kwanza hakuna timu ya kunifunga

Leta first 11 yako
Toa yao kouassi hapo weka ande koffi wa singida black stars...yule mtu na nusu.
Namba sita toa munganga weka khalid wa singida black stars
 
Ande Koffi ni hatari, anaujua mpira hasa
Hakika hapo Yao namtoa
Nitibie hilo tatizo lako la kichwani
Mwaka mpya 2025 usiingie nalo
Ooh hiki kikosi changu, mara umeshaanza kukipangua, hahah. Ukiambiwa umweke Mwigulu golini fasta utamtoa Pinpin. Kikosi kimejaa Yanga A na Yanga B wakati wanaoongoza ligi ni wengine.
 
Ooh hiki kikosi changu, mara umeshaanza kukipangua, hahah. Ukiambiwa umweke Mwigulu golini fasta utamtoa Pinpin. Kikosi kimejaa Yanga A na Yanga B wakati wanaoongoza ligi ni wengine.
Wewe nishakudharau hatuko daraja 1 kwenye uelewa wa mambo
 
Aisee kwanza umesikia ligi hairudi mpaka March? Mbona tutaumwa vifua kwa baridi la huku kileleni.
Tanzania tupo gizani
Yaani ligi inapisha ndondondo za CHAN na Mapinduzi cup
Wakati mataifa mengine yamejitoa
 
1. Mousa Kamala(Simba)
2.Yao Kouassi Attohoula (Yanga)
3. Paschal Msindo(Azam)
4. Abdulazak Hamza(Simba)
5 Ibrahim Bacca (Yanga)
6. Nelson Munganga (Tabora United)
7. Pacome Zouzou (Yanga)
8. Marouf Tchakei(Singida BS)
9. Elvis Rupia(Singida BS)
10. Feisal Salum (Azam)
11. Max Nzengeli (Yanga)

Kwa hii timu Yangu round ya Kwanza hakuna timu ya kunifunga

Leta first 11 yako
Yao msimu huu hapana
 
Tanzania tupo gizani
Yaani ligi inapisha ndondondo za CHAN na Mapinduzi cup
Wakati mataifa mengine yamejitoa
Kampeni! Lazima hayo mashindano yatumike ipasavyo kumpromoti mtu bila hivyo tutakuwa busy na Simba na Yanga zetu na tutayapuuza hayo mashindano.
 
Nalijua hilo l
Kwa kuwa ni kikosi chako ok
Ila beki ya kati hakuna kama Dickson job hakuna hapa bongo

Lusajo alideserve sana mbavu ya kulia
Nalijua hilo Dickson Job ni beki mzuri lakini Kwa Leo Wacha nitembee na Abdulazak Hamza
 
Back
Top Bottom