Kikosi hatari cha majasusi na makomando watakaoiangusha Serikali ya Russia

hoja yako imemezwa na kuzamishwa na mahaba dhidi ya ubeberu,vita hivi sio vigeni vilianza kitambo sana na mmarekani hajawahi kupigania maslahi ya dunia hata siku moja bali yupo kulinda maslahi yake hata kwa gharama ya damu kama alivyowatoa ukraine sadaka,bahati mbaya sana ameshaanza kuzidiwa kete.
 
CHAMA CHA WAPIGA PUNYETO TANZANIA (CHAWAPUTA)
Aliye anzisha thread hii ni member wa chama hicho.
Ah wapi mkuu CHAWAPUTA tupo watu tunaojielewa nikiwemo mimi mjumbe wa mkutano mkuu kutoka kanda ya pwani,, huyu kama ilivyo ada yao pro Ukraine+NATO/USA pasi na shaka atakuwa member wa LGBT 🏳️‍🌈
 
Yani unakaa hapo unakunywa togwa unatarajia Rais wa nchi kama Russia au China auwawe na kakikosi ka watu 500?
Kwanza unajua madhara ya kumuua mkuu wa nchi ambayo hujui ajaye atakuwa na madhara kiasi gani. We mwenyewe ulichoandika hapa hujui ni kitu gani
 
 
Sasa kweli USA ndio kilanja wa dunia unategemea akae kimya tu?Tatizo lolote duniani linapotokea utasikia yeye ndie wa kwqnza kutoa msaada hao wengine wanakuwa wapi?mashirika yote ya UN yeye ndie mchangiaji mkubwa wa michango,na ndio maana kuwa DG waashirika hayo bila USA,kuunga mkono hupiti!!!ule ushenzi wa ISS,ALKAIDA bila US, ingekuwaje?hao uliowataja hawana msaada mkubwa kwa AFRICA,.US ana mapungufu yake lakini hii dunia ipo ktk usalama huu kutokana na jitihada zake.
 
Umeshawahi kujiuliza ni nani...Muanzilishi na Mfadhili...wa hayo makundi ulioyataja..???...hebu kafanye hiyo hmwork kwanza ...halafu njoo tena umtetee huyo..USA..!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Labda kama Putin anatokea CCM
 
USALAMA wa DUNIA unaitegemea RUSSIA Ft

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ogopa sana mtu kuichezea akili yako, wewe umeaminishwa kuwa CIA, MI6,MOSSAD n.k kuwa ni bora sana kwenye ujasusi!!!!!!!!!!!!!!!!Jitoe kwenye huo upofu na jaribu kupunguza mahaba !!!!!!!!!!!Haya mashirika kuna misheni mbalimbali ambazo wamefanya na kushindwa vibaya sana!!!!!!!!!!!!!!!!

Halafu jaribu kupunguza ujuaji wa kishamba, huna unachokijua kuhusu ujasusi wa mataifa makubwa, unachokifahamu wewe wametaka wewe ukifahamu!!!!!!!!!!

Nb 1: Kanuni za kijasusi karibu dunia nzima zinafanana.

NB 2: Dunia inaendeshwa kwa siri kubwa mno!!!! Mimi na wewe hatuzifahamu na hatutakuja kuzifahamu!!!!!!!!!
Ni mtazamo!!!!!!!!!
 
"CIA akishirikiana na mataifa rafiki wamekuwa wakifanya kazi ngumu ya kuweza fanikisha mission ya kuwaeliminate three head ktk hali ambayo hakuna anayeweza kufikiri au kuwaza"

Ambayo ww umeshaiwaza tayari!!??
wabongo acheni mbwembwe hizi bana katafute ugali wa watoto wako.
 
Hivi vita vilitabiriwa na hakutakuwa na vita ya 3 ila marekani na nchi zote zinazopigana zitadororoa kiuchumi, nchi itakayofaidiaka na mzozo huj ni china na japan. Ilitabiriwa zaidi ya miaka 40 iliyopita
 
Watu wajinga ni wengi sana kwenye bara hili hasa nchi hii, NATO wanaoburuzwa na marekani ndio tatizo kwenye dunia ya leo
 
Kusema China ,Iran na Russia ni Tishio sio kweli bali hao westi ndio Tishio

Mtu Toyote anawez Tabir kifo cha kiumbe alieHai na nazn hili kama ni rahis marekab angeweza kutumia njia hii kwa mataifa mbali mbali ambayo alipgana nayo vta na kuua wanajesh wake ,

Na swala hili linawezekan tuu wakat ambao hamna vta ila kwa wakat huu wa vita ni ngumu kwakuw kila kitu kinatumika kumuwek president secured
 

Huyu jamaa hajitambui, anasema russia iran and china ni kitisho cha dunia, yaani anajipa upofu haoni USA Nato ndio wana hatarisha amani ya dunia.

Yaani yupo kihisia hisia, amearibiwa na movie za hollywood huyu sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…