Kikosi hatari cha majasusi na makomando watakaoiangusha Serikali ya Russia

Huwa wanaanza na propaganda Kama hivi ,ili kutishia ,katka harakati za kuchukua hatua wanajua kunamahali uta miss hapohapo wanapatumia,ndicho kilichotokea hapa kwetu bongo land,Ila sio urusi mkuu.watalaam wa kuua silently & professional katka dunia hii ni russia,hata hizi sumu za lethal zinazotumika ku wa eliminate watu wazito,mfano Marais n.k ambazo huwezi kuni detect kwa kipimo chochote kile mafundi wa kuzitengeneza ni hao hao Russia. kumpiga mkwara Russia ni sawa na ujaribu kutikisa mbuyu......
 
Wewe ndivyo una amini ila mm sivyo ninavyo amini tawala za ki imla na katili hazina nafasi ktk uso wa Dunia hata Mungu alimshisha Yulusifa chini ili ajulikane Yeye ni Mungu. How coma mtu mmoja anatawala Taifa kwa mkono wa chuma anauwa watu kama kuku wake bandani nenda china kwa siku wananyonga watu wangapi? Nenda Iran ukaone mauwaji ya binadam kama kuku kuchinja bandani nenda Urusi ukaone sumu inavyo Latisha Uhai wa maelfu ya watu kwa masilahi ya mtu mmoja. Ambaye mtu huyu pia anakufa why?
 
Kama nilikuwa nimekaa chini ya mwembe au mkungu basi Biden ameenda Ukraine utajibu mengine mwenyewe.
 
Ndugu, punguza mauongo, ni lini ulikua China au Russia na ukashuhudia watu wananyongwa kama kuku? Au unaongea tu, hizo ni hukumu zipo hata hapa TZ lakini hazitekelezwi kiasi kikubwa Cha kutosha bana
 
Nataka kuwambia wale mnaokula na kuota mchana kweupe ..Rais wa Urusi hawezi kamwe..Narudia kamwe hakuna nchi yeyote yenye uwezo uwe wa Kijeshi au Kijasusi kumuua Rais Putin...HAIPO WALA HAITATOKEA....Ila kwa mapenzi yake Mungu kama tulivyo sisi sote wanadamu Putin atakuja kufa siku moja na Urusi sio Burundi wameandaliwa Vijana wazuri sana ambao watachukua madaraka ya Urusi siku zijazo ambao wanaogopeka hata kulikoni huyu Putin mnaemuona na anawajambisha balaa...Narudia libarikiwe tumbo alilolala Vladimir Putin...Ametuokoa na haya mashoga majinga sana....
 
Hivi mnajua vizuri taasisi za kijasusi za Urusi au mnazisiki kwenye luninga na Radio - ntawapatia mfano mdogo - Juzi hapa Rais Biden alifanya anakuja kuitembelea Kiev kwa siri kubwa kwa kupitia Poland Kwanza halafu anasafirishwa na gari moshi usiku wa manane kutoka Poland kuja Kiev Ukraine kwa kile walicho kiita ni siri kubwa ili hisivuje kirahisi - we fikilia katika kujiamini kwote huko kwa ulizi wa Rais wa Merikani lakini Wamerikani waliona umuhimu wa kumjulisha Putin kwamba Biden atakuja Kiev kumuona Zelensky waliwafahamisha Serikali ya Urusi/Putin through diplomatic channels hata muda atakao wasili Kiev/Ukraine - sasa swali ni: mbona USA ujifanya zaidi katika masula ya kijasuzi na upelelezi sasa kwa nini walikuwa na wasi wasi kwamba Warusi watajua kinacho endelea - ndio maana Biden na walizi wake wakaona ni bora wa wambie ukweli in advance Serikali ya Urusi yaani Putin.

Wanasiasa wa ni watu wa ajabu sana - Biden anajua kilicho endelea nyuma ya pazia ili kujihakikishia usalama wake akiwa mjini Kiev baada ya kumtaarifu Putin.

Lakini mbele ya waandishi wa habari na TV cameras Biden anafanya maigizo kwa kumtunia Putin misuli kwamba atamkomesha Putin kwa kumpatia silaha na fedha Zelensky ili aweze kumshinda Putin kirahisi - would you believe it - who knows si ajabu ujio wa ghafla wa Biden ulikuwa na lengo moja nalo ni kumshauri Zelensky anze kufanya mazungumzo na Putin ili wamalize vita kwa kuwa Uwezekano wa Jeshi la Ukraine kushinda jeshi la Urusi ni mdogo sana na NATO haiwezi kujiingiza kwenye vita hii wakati Ukraine si member wa alliance - hayo ni mawazo yangu.
 
Ni kweli kabisa mkuu, ndio maana Putin alisha waonya mabeberu kwamba "Urusi ni kama mti wa mbuyu wewe ndio utabaki unatingisha makalio yako lakini sio mbuyu" - Putin ana akili sana na busara - Nikisema Mungu alimleta hapa Duniani kwa lengo jema sana la kuwakomesha mabeberu kimtindo - hatatumia nguvu sana kumaliza jeuri zao na kiburi amebahatika sana kujaliwa na mega tacticts za kuwakomesha softly - mwisho wa siku hutasikia tena NATO sijui G7, IMF, WorldBank etc vitafifia taratibu baada ya Mataifa mengi kujitambua na kujiunga na multipolar World na kuachana na NWO.
 
.
 
Pambania familia yako, kwanza umekula!?
Putin yupo sana, ataondoka kwa mipango ya Mungu tu.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Yaani wewe inatakiwa uvae ile t-shirt ya upinde kabisa..hamna kitu kichwani. Really brain washed 🚮



Vita alizoshiriki marekani sehemu mbalimbali duniani na kusababisha maafa ya watu enzi na enzi.. hebu niambie India, China na Russia wanaingia hapo? Acha kutumika dogo kama chawa, na kukariri ujinga kama kasuku. Njoo na facts
 
Kwani USA na nato sio tishio la amani.
USA kaazisha vita vingapi Duniani hapa.
Hata congo war ni wao walikufa watu million 5 kule.
Ni USA na UK. Walihusika.
Hio vipi.
Uwe unaelewa. USA na NATO wanaanzisha kuhakikisha dunia inakuwa na amani.
 
Ila tuache utani mkuu, mbona siku hizi unaandika mada za hovyo namna hii? Nini kimekupata?
 
Aiseee vipi kikosi kazi hakijafika tu Moscow kwa Putin..ni karibia mwaka na nusu sasa??Au kiliishia Hollywood??
Msiwe mnaweka mihemko na hisia kwenye hayo mambo..everybody and everynation capability is limited...
"IF WISHES WERE HORSES BEGGARS WOULD RIDE""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…