Kikosi kikipangwa namna hii Vipers hatoboi!

Simbaa!! Mbwa simba, pumbavu zake....
Hahahaaaa!!

Sio Simba Msimbazi jamani ndio maana sikuanza na S kubwa!
 
Boko anafanya nini hapo
 
Kocha anataka total football wachezaji waliopo si watoto football lazima team iyumbe...kocha alitakiwa kutafuta mfumo kutokana nawaliopo sikuleta mfumo ambao wachezaji waliopo hawawezi lazima afeli
4-4-2 diamond,4-5-1,4-3-3
 
Kikosi kimejaa wastaafu hamtoboi
Babu Onyango, nasikia alipigana vita ya pili ya dunia. Ntibazokiza, nasikia ni mmoja kati ya wapigania uhuru wa hapo Burundi.

Alafu kuna Kibudenga. Jamaa alikua kibarua kwenye ujenzi wa reli ya kati enzi za mjerumani. Wanaanzaje kutoboa?
 
Kocha anataka total football wachezaji waliopo si watoto football lazima team iyumbe...kocha alitakiwa kutafuta mfumo kutokana nawaliopo sikuleta mfumo ambao wachezaji waliopo hawawezi lazima afeli
4-4-2 diamond,4-5-1,4-3-3
Direct football inataka vijana wenye uwezo wa ku hold up 90minutes

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwa banda aanze sako banda aingie sub
 
Huu ndo ukweli.

Kibu ana workrate kubwa mno kuliko wechezaji wote wa mbele hivyo kwa game za ugenini huyu kifaru anaisaidia timu pakubwa kubalance.

Mitano tena kwa Kibu!
Makolo wamechoka mpaka basi,leo wanamtegemea baunsa Kibu
 
Kila lakheri Simba mkatuwakilishe vyema, ila siku hizi mmekua Simba midoli mnaudhii, ole wenu msifunge🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Banda hawezi kucheza na waganda watamuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…