muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
kapuuzi,wanakaita Putin yeye ni rafu tuu.Huyo Kanoute yeye kazi yake ni kukusanya kadi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kapuuzi,wanakaita Putin yeye ni rafu tuu.Huyo Kanoute yeye kazi yake ni kukusanya kadi tu
Mechi zipi amekuwa game changer ni misimu 2 now sidhani kama magoli aliyohusika (goal+assist) hata yanafika 10 ?
Chonde chonde Mkuu, ile style ya kinyume nyume msiirudie huko ugenini...
Naiona Mbumbumbu fc ikikubali kichapo Cha goli 3 na zote zitafungwa kipindi Cha kwanza!!Hata mpange nyumba kule UG hamtoboi mtafungwa tu.
Boko anafanya nini hapoWakuu,
Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana Kapombe kuliko Sakho.
Pia kipindi cha pili ni muhimu Kibu aingie badala ya Ntiba ili intensity ya timu isipungue.
Huu ni ubashiri wa kikosi ninachoamini kinaweza kubadili matokeo.
1) Aishi Manula
2) Kapombe
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanoute
7) Banda
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Ntibatokiza
Supersub Washambuliaji: Boko, Kibu, Sakho, Baleke
Tupe lineup yako pia unayoiaminia .... #Nguvumoja[emoji110]️
Kuna jamaa humu anaitwa Pwilo eti anasema Kanoute ni top quality playerHuyo Kanoute yeye kazi yake ni kukusanya kadi tu
Game na SBS first round ambayo aliumia ni mfano. Kama akiwa fiti mtaniambia hapaMechi zipi amekuwa game changer ni misimu 2 now sidhani kama magoli aliyohusika (goal+assist) hata yanafika 10 ?
Babu Onyango, nasikia alipigana vita ya pili ya dunia. Ntibazokiza, nasikia ni mmoja kati ya wapigania uhuru wa hapo Burundi.Kikosi kimejaa wastaafu hamtoboi
Direct football inataka vijana wenye uwezo wa ku hold up 90minutesKocha anataka total football wachezaji waliopo si watoto football lazima team iyumbe...kocha alitakiwa kutafuta mfumo kutokana nawaliopo sikuleta mfumo ambao wachezaji waliopo hawawezi lazima afeli
4-4-2 diamond,4-5-1,4-3-3
Hapo kwa banda aanze sako banda aingie subWakuu,
Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana Kapombe kuliko Sakho.
Pia kipindi cha pili ni muhimu Kibu aingie badala ya Ntiba ili intensity ya timu isipungue.
Huu ni ubashiri wa kikosi ninachoamini kinaweza kubadili matokeo.
1) Aishi Manula
2) Kapombe
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanoute
7) Banda
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Ntibatokiza
Supersub Washambuliaji: Boko, Kibu, Sakho, Baleke
Tupe lineup yako pia unayoiaminia .... #Nguvumoja[emoji110]️
Watapigwa kama ngomaNaiona Mbumbumbu fc ikikubali kichapo Cha goli 3 na zote zitafungwa kipindi Cha kwanza!!
Makolo wamechoka mpaka basi,leo wanamtegemea baunsa KibuHuu ndo ukweli.
Kibu ana workrate kubwa mno kuliko wechezaji wote wa mbele hivyo kwa game za ugenini huyu kifaru anaisaidia timu pakubwa kubalance.
Mitano tena kwa Kibu!
Banda hawezi kucheza na waganda watamuuaWakuu,
Ili game ya kesho tushinde tunahitaji kuwatumia Banda na Phiri kuleta vitu vipya pale mbele na kuwapumzisha kwanza Baleke , Sakho na Boko. Banda ana workrate kubwa na atamsaidia sana Kapombe kuliko Sakho.
Pia kipindi cha pili ni muhimu Kibu aingie badala ya Ntiba ili intensity ya timu isipungue.
Huu ni ubashiri wa kikosi ninachoamini kinaweza kubadili matokeo.
1) Aishi Manula
2) Kapombe
3) Tshabalala
4) Onyango
5) Inonga
6) Kanoute
7) Banda
8) Mzamiru
9) Phiri
10) Chama
11) Ntibatokiza
Supersub Washambuliaji: Boko, Kibu, Sakho, Baleke
Tupe lineup yako pia unayoiaminia .... #Nguvumoja[emoji110]️
Huelewi kitu weweHuyo Kanoute yeye kazi yake ni kukusanya kadi tu
Wewe unafatilia mpira au umekunywa wanzukiMechi zipi amekuwa game changer ni misimu 2 now sidhani kama magoli aliyohusika (goal+assist) hata yanafika 10 ?