Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Kumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko.
Habari hizo zimeripotiwa kwa mara ya mwanzo na waandishi wa shirika la Telegraph na haijathibitishwa idadi kamili ya askari waliokufa huku helikopta za IDF zikionekana kwa mbali kwenye harakati za uokoaji.