Kivipi mkuu, mbona misri anamtetea sana hamasLeo hiyo.
Misri tu ndio kikwazo cha ushindi wa Hamas
Misri ni sehemu ya Israel kuwapiga watu wa Gaza.Kivipi mkuu, mbona misri anamtetea sana hamas
Mkuu kwani kusaidia ni lazima?Misri ni sehemu ya Israel kuwapiga watu wa Gaza.
Angalia India wameuliwa watu 26 tena muuwaji wala hawajamthibitisha lakini imekuwa sababu ya kuanzisha vita.
Misri watu wanauliwa kwa mabomu na njaa na haina habari.
Ni jambo zuri na kuongezwaKumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko.
Habari hizo zimeripotiwa kwa mara ya mwanzo na waandishi wa shirika la Telegraph na haijathibitishwa idadi kamili ya askari waliokufa huku helikopta za IDF zikionekana kwa mbali kwenye harakati za uokoaji.
Umeanza lini kupenda Ugomvi lakini!!!?
Hivi huyo jamaa anayeku cc hakuchoshi kweli hana point yeyete na sidhani kama anakili nzuri, kila habari anaandika ujinga kisha ana ku cc.. au ndio wale kile James Delicious.. nimejaribu kuhisi something not ok with this dude... Kuna siku nilicheki wanachangia sana mada kwenye Great thinker nikakuta ID yake ila sasa kla anachochangia dah uhalisho una nafuu then ana cc Mahonday aka KupensaUmeanza lini kupensa Ugomvi lakini!!!?
Chadema wameingiaje hapo?Nyumbu nyumbu tu
Ndio mnavyodanganyana misikitini hivi.. hata Allah aliwaambia mkienda Fildaus mtakuwa na endless Penis so unakaa getto lako uume upo nje hadi nyumba ya jirani.. hebu amkeni mjinga kawadanganya miaka 1400 iliyopita mnaona eti ni ahadi za Allah hadi leo hii...Yeah Al Qassam Inshallah kila mzayuni atakae ingia Gaza Hata Rudi mzima na akirudi mzima Hata hudumu jeshini tena
Hawana kifaru wala fighter jet na wamezingilwa hawapati hata risasi huo ushindi watapataje? Au ndo mambo ya Allah?Leo hiyo.
Misri tu ndio kikwazo cha ushindi wa Hamas
Chanzo cha habari sheikh wa masjid mwembe mimba kizmkazKumetokea mapigano yasiyo ya kawaida eneo la mpaka wa kusini wa Gaza na kupelekea kikundi kikubwa cha askari wa Israel kuripukiwa na bomu wakati wamo ndani ya jengo moja mpakani huko.
Habari hizo zimeripotiwa kwa mara ya mwanzo na waandishi wa shirika la Telegraph na haijathibitishwa idadi kamili ya askari waliokufa huku helikopta za IDF zikionekana kwa mbali kwenye harakati za uokoaji.