Vipi sisi ambao hatuna hata kikundi cha maigizo?Nikikumbuka cha kwetu ukingani million moja na laki tano nabaki nalia ๐ญ๐ญ๐ญ
Inshallah tutafika huko ๐คฃ๐น๐น
Marejesho ya nini?unaambiwa marejesho yao kwa wiki ni milioni 200..
Member wa hiki kikundi ni kina nani? Tuwekee majina yaoNaam. Kiingilio 500,000,000 tu.
Watu unaokaa nao, utafanana naoView attachment 3206100
View attachment 3206095
Ndio muanzishe hata cha wachangia comments JF ๐น๐นVipi sisi ambao hatuna hata kikundi cha maigizo?
TutAanzisha cha wasio na bikraNdio muanzishe hata cha wachangia comments JF ๐น๐น
Just imagine mtu anaetoa 500m kama membership fee unafikiri yeye mwenyewe ana hela kiasi gani?Ndio muanzishe hata cha wachangia comments JF ๐น๐น
Si Tanzania nzima hiyo, naomba niwe mweka hazina wenu ๐น๐นTutAanzisha cha wasio na bikra