Kikundi chenu kina kiingilio cha shilingi ngapi? Kutana na Royal Family, kiingilio shilingi milioni mia tano!

Kikundi chenu kina kiingilio cha shilingi ngapi? Kutana na Royal Family, kiingilio shilingi milioni mia tano!

Nakuona mzee unaeamini kwenye kushindwa....wenzako 500m ni kama wewe unavyoiona elfu 50 ya kiingilio kwenye kikundi chenu. Wenzako ni wafanyabiashara wakubwa wanajua wakitupia million 500 Kila mwanachama, kama wapo 20 wanapata bilion 10 mtaji wa pamoja hivyo mikopo midogo midogo ya million 20 wanachukua kwenye kikundi huku bank wanaenda kwa mikopo mikubwa mikubwa
Kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom