Kikundi chenu kina kiingilio cha shilingi ngapi? Kutana na Royal Family, kiingilio shilingi milioni mia tano!

Kikundi chenu kina kiingilio cha shilingi ngapi? Kutana na Royal Family, kiingilio shilingi milioni mia tano!

Ukiwa huna Pesa kwenye Vikao vya familia ukitaka tu kuchangia hoja. Unakuwa unaonekana unataka kumpiga mtu😅😅😅 unatolewa nje 😅😅😅😅😅😅
Kwa nyie itakua ni kweli😁😁
 
Wala usibishe watu wana pesa mkuu.!
Hii utaona km chai ukiwa huna pesa ila kwa wenye nazo ni vitu vidogo.!!
Labda hicho kikundi kiwe na watu Mfano wa kama gsm,mo dewj,bakhresa n.k.Tofauti na sampuli ya hao watu naona kama ni ngumu.labda tujue kwanza malengo ya hicho kikundi ni yapi?
 
Sitanii 😅😅😅😅 ni ukweli mtupu we njoo Disemba uone 😅😅😅
Sie kibosho hatuna hizo kwa sababu tuna amini kila mtu anauwezo wa kutoka chini na kuwa juu na huwa tunapenda kusaidiana kunyanyuka.
 
Bila kunyanyuana mambo ni magumu sana , anajilipua mmoja then anawavuta wengine, hata siku akishuka anao wakumwinua ndivyo uchumi ulivyo kuna kupanda na kushuka.
Huku hunyenyuliwi 😅😅😅 kipigo kitakunyanyua 😅😅😅
 
Uongo.hakuna kikundi Cha kiingilio milioni Miatano ispokuwa kaongea kama utani na kufanya gumzo Kwa watu.Milioni Miatano ni sawa V8GXR new model.waache utani.
Una mawazo kama yangu mkuu, na hii yote inasababishwa na umasikini wetu.

Tutafute hela mkuu, au ulikuwa bado hauna ufahamu kipindi kile Pro. Tibaijuka anaiita shilingi bilioni moja ya kipindi kile kuwa ni 'hela ya mboga' huku Bwana. Andrew Chenge a.k.a Joka la Makengeza akiita 'vijisenti'.
 
Back
Top Bottom