Mwakani tunavunja, asubiri tukianza tena tutamjulisha..!!Kiingilio chenu sh ngp, kuna mshangazi hapa unauliza
Kwa nyie itakua ni kweliππUkiwa huna Pesa kwenye Vikao vya familia ukitaka tu kuchangia hoja. Unakuwa unaonekana unataka kumpiga mtuπ π π unatolewa nje π π π π π π
Labda hicho kikundi kiwe na watu Mfano wa kama gsm,mo dewj,bakhresa n.k.Tofauti na sampuli ya hao watu naona kama ni ngumu.labda tujue kwanza malengo ya hicho kikundi ni yapi?Wala usibishe watu wana pesa mkuu.!
Hii utaona km chai ukiwa huna pesa ila kwa wenye nazo ni vitu vidogo.!!
Sitanii π π π π ni ukweli mtupu we njoo Disemba uone π π πKwa nyie itakua ni kweliππ
Sie kibosho hatuna hizo kwa sababu tuna amini kila mtu anauwezo wa kutoka chini na kuwa juu na huwa tunapenda kusaidiana kunyanyuka.Sitanii π π π π ni ukweli mtupu we njoo Disemba uone π π π
π π π hongereni sanaSie kibosho hatuna hizo kwa sababu tuna amini kila mtu anauwezo wa kutoka chini na kuwa juu na huwa tunapenda kusaidiana kunyanyuka.
Mnataka kuturoga sio??Member wa hiki kikundi ni kina nani? Tuwekee majina yao
ππ Bora nyie sie buku ziwe 10.Nikikumbuka cha kwetu ukingani million moja na laki tano nabaki nalia πππ
Inshallah tutafika huko π€£πΉπΉ
Bila kunyanyuana mambo ni magumu sana , anajilipua mmoja then anawavuta wengine, hata siku akishuka anao wakumwinua ndivyo uchumi ulivyo kuna kupanda na kushuka.π π π hongereni sana
π€£π€£π€£π€£π€£Ila nyie π€£π€£Walikuheshimu wenzio wanapewa ice cream ya hamsini upate vichomi urudi kwenu πΉπΉ
Kipindi hicho ukichomoza kichwa kinakatwa, nafikiri walikua wamejishimbia mashimoni.hivi hiki kikundi kilikuwepo enzi za jiwe?
Huku hunyenyuliwi π π π kipigo kitakunyanyua π π πBila kunyanyuana mambo ni magumu sana , anajilipua mmoja then anawavuta wengine, hata siku akishuka anao wakumwinua ndivyo uchumi ulivyo kuna kupanda na kushuka.
Na chawachangia shahawa pia kiwepoNdio muanzishe hata cha wachangia comments JF πΉπΉ
Nawajua vizuri ππ sana unakuta hata kama upo juu kuna watu watafanya juhudi za kukushusha πHuku hunyenyuliwi π π π kipigo kitakunyanyua π π π
Thubutuu!!!hivi hiki kikundi kilikuwepo enzi za jiwe?
Una mawazo kama yangu mkuu, na hii yote inasababishwa na umasikini wetu.Uongo.hakuna kikundi Cha kiingilio milioni Miatano ispokuwa kaongea kama utani na kufanya gumzo Kwa watu.Milioni Miatano ni sawa V8GXR new model.waache utani.