Basi Kashafeli sana tena sanaaaHumu Jf anajifanya kujificha kwenye kichaka cha Ukristo ili kuwasemea mbaya waislamu, lakini hilo si lengo lake, lengo lake ni kueneza chuki kwa jamiiya watanzania wa JF.
Salamu zikufikie wewe mnyarwanda mtutsi imhotep umeshafeli pakubwa!
Ukijua wewe pia sio vibayaHata hujui maana ya AIπππ
Umeamua kukoti hapo ili kunitoa kwenye agenda yako ya siri ya kueneza chuki humu Jf.Kha!...mumebadilika ghafla πππππ
Hao walioiba ni mafisadi wachache tu ila jamii za huko nyingi hali ngumu ya kiuchumi.Kuna ukakasi kidogo hapo, unajua tokea Nigeria ipate Uhuru Jamii za Kaskazini ndio zilikuwa zikiongoza Taifa hilo kwa muda mrefu na uporoji mkubwa uliokuwa ukifanyika ni jamii hizo ndio zilizokuwa zikifaidika.
Kwahiyo unaposema "Jamii zilizohaulika" sijui haswa unamaana gani?.
Wewe ruka ruka ila hunitoi kwenye mada.Naona leo Wayahudi na Wazayuni watapumzika naona leo ni zamu ya Watutsi ππππ.
Antisemitism na Antihamitism ni kitu ambacho kiko hai sana aisee!!?
Nani awe Antisemitic wakati nina hiyo damu! Yaani nijichukie mwenyewe?Kumbe na wewe ni Antihamitic?!nilikuwa nakujua kuwa ni Antisemitic mkubwa sana humu JF.
We mwehu kweli wewe!Wewe ni Antihamitic hupendi Watutsi na ni Antisemitic hupendi Wayahudi.
Toa dislike mpaka upasuke!Ni cancer!
Una jengine?