Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila nyie jamaa mnaufala mwingi sana et marekani hao wanapata nguvu kweny yale maneno yao wanayotamka kabla yakuua mara takbiiiiiil, Allah akbaaaah, malshalaahMagaidi wangekua hawaungwi mkono na marekani na NATO na EU ingekua rahisi sana kuwafuta ila hao walowaasisi wana nguvu sana tatizo huanzia hapa
Muafrika amelevywa nadini yan anajiona kabisa yeye nimuarabu nasigda kuuubwa ambaya hata yahya sinwaar hakua nayoView attachment 3150576
Sultan wa Sokoto Sa,adu Abubakar ameliunga mkono Jeshi la Nigeria katika kuwasaka Magaidi hao na kuwaua.
Yeah, wonder nigeria is powerful militarily lakini eti bokoharam watashitia aman. Makundi yakigaidi yanamilikiwa na among of the rulers.Kuna kipindi rais wa Nigeria Buhara alitenga kila kitu jeshi walichokihitaji na bado wakashindwa.
Akaliuliza jeshi kwa sasa mnahitaji nini maana kila kitu mlichohitaji nimewapa! Kumbe wakuu wa majeshi wanatafuna asilimia kadhaa za hela halafu asilimia inayobako ndiyo wanaingiza jeshini
Msumbiji hapo Wagner walienda kupambana na magaidi ya huko ila baadaye wakaondoka. Walichogundua ni kwamba kuna viongozi serikalini wanashirikiana na hilo kundi la kigaidi.
Hivyo huwezi kuitumikia serikali hiyo hiyo ambayo huku inasema inapambana na magaidi na huku inashirikiana na magaidi.
Ukanda wa Niger inafahamika wafaransa ndiyo wanafadhili magaidi ya huko.
It took them years now. Let's see!. Al-qaeda controls Afghan after 20+ yrs of conflict.Raisi Bola Tinubu ameapa kuyaangamiza Makundi yote ya Kigaidi.
Acheni kuwasingizia wazungu! Mda mwingine sisi ni wajinga tu hasa upande huo wa hio diniMakundi yote ya Kigaidi ni Project za Marekani na Nchi za Kikristo za Ulaya hasa Ufaransa na Uingereza
Dini ipi? Una uhakika kweli ni wa dini hiyo unahisi? Umemsahau kama Mkuu wa ISIS iliyoisumbua Syria na Dunia alikuwa Myahudi?Acheni kuwasingizia wazungu! Mda mwingine sisi ni wajinga tu hasa upande huo wa hio dini
Ushasema kanisa ...hao kwan wamevamiwa kanisani ?Kwamfano wanavamia Kanisa ndani ya Kanisa kuna Aswari Sunni?!. Maswali mengine ni ya Kijinga sana.
Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria, na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger.
Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu, na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts".
Majihadist hao inasemeka idadi yao haijulikani lakini wanaweza kufika Magaidi elfu nane.
View: https://youtu.be/JUaMZr3myOw?si=nTMs18tBUr_CyHyl