Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

Magaidi wangekua hawaungwi mkono na marekani na NATO na EU ingekua rahisi sana kuwafuta ila hao walowaasisi wana nguvu sana tatizo huanzia hapa
Ila nyie jamaa mnaufala mwingi sana et marekani hao wanapata nguvu kweny yale maneno yao wanayotamka kabla yakuua mara takbiiiiiil, Allah akbaaaah, malshalaah
 
Yeah, wonder nigeria is powerful militarily lakini eti bokoharam watashitia aman. Makundi yakigaidi yanamilikiwa na among of the rulers.
 
Yeah, wonder nigeria is powerful militarily lakini eti bokoharam watashitia aman. Makundi yakigaidi yanamilikiwa na among of the rulers.
Raisi Bola Tinubu ameapa kuyaangamiza Makundi yote ya Kigaidi.
 
Acheni kuwasingizia wazungu! Mda mwingine sisi ni wajinga tu hasa upande huo wa hio dini
Siku Waisilamu watakapojiuliza maswali magumu bila majibu mepesi mepesi ndio siku Ugaidi utakosa sehemu ya kujifichia.
 
Acheni kuwasingizia wazungu! Mda mwingine sisi ni wajinga tu hasa upande huo wa hio dini
Dini ipi? Una uhakika kweli ni wa dini hiyo unahisi? Umemsahau kama Mkuu wa ISIS iliyoisumbua Syria na Dunia alikuwa Myahudi?
Umemsahau kama mwaasisi na mfadhili wa ISIS ni USA chini ya Obama na Bi Clinton?
Au pia hujui kama muasisi mfadhili ya Al Gaida ya Osama walikuwa USA Ili kuangusha uthibidhi wa USSR kule Afghanistan?
 
Dini gani hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…