Kikweta siyo mtu mzuri kwa inchi yetu ya Tanganyika

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana
Nipende kusema huyu ndiye aliyeko nyuma ya kila kibaya kinachofanyika sasa sawa na ubaya uliofanyika kipindi chake,na huyu Mama ametiwa uoga ili awaachie kundi fulani wafanye wanavyotaka,
 
Wananchi tunafanya jukumu gani?
 
Natangaza katika jina la yesu nan’goa shina lake lote na kutupwa mbali watu wote tuseme amina
 
Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana
Nipende kusema huyu ndiye aliyeko nyuma ya kila kibaya kinachofanyika sasa sawa na ubaya uliofanyika kipindi chake,na huyu Mama ametiwa uoga ili awaachie kundi fulani wafanye wanavyotaka,
Kichekesho ni kwamba hizi fitina zinatoka kwa mmoja wa vijana aliowalea yeye mwenyewe kisiasa!.

Watanzania wanaangalia kinachofanywa na Samia na watatiki 2025, haya ni sawa na maneno ya kwenye kanga.
 
Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana
Nipende kusema huyu ndiye aliyeko nyuma ya kila kibaya kinachofanyika sasa sawa na ubaya uliofanyika kipindi chake,na huyu Mama ametiwa uoga ili awaachie kundi fulani wafanye wanavyotaka,
Mwana mtandao mwanzilishi
 
Wewe ni nyumbu kama nyumbu wengine. Wazee tumesikiq, tunahisi, Maria kasemq, Braza K karopoka. Ukiambia ushahidi huna. Watu wanaomchukia Kikwete ni wale waliokuwa na nia ovu wakashindwa.
 
Mtavuliwa nguo zenu zote mpaka tuuone utupu wenu,na huyo mwamba hamna uwezo wa kumteka atatupa siri zenu zote
 
Back
Top Bottom