Kikweta siyo mtu mzuri kwa inchi yetu ya Tanganyika

La Cosa Nostra.... Jamaa wameuteka mfumo hata kule tunakoamini labda ndio waokozi wetu nako hoi mbaya kabisa jamaa wana mpaka wings zao huko, special forces.

Huyu jamaa kilichobaki tumwachie Mungu tu achukue maamuzi yake lakini mpaka sasa inaonekana hatumuwezi na alituwahi zamani sana. Hata huyu dogo HP atabwabwaja lakini mwisho wa siku anategemea sana reaction ya wananchi na sio nguvu fulani kufanya jambo.

Kama ingekuwa kuna taasisi au watu wenye nguvu bado wako huru, kwa hali ilivyo naamini ingeshachukua hatua zamani sana toka 1995.

ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Pole pole anajua mengi kuliko sie humu. Hayo unayo zungumza huenda kayajua kitambo sana. Na anachofanya kakipigia hesabu vizuri sana na wanajua mchezo wanao fanya ni hatari kwake na walio nyuma yake..
 
Mtoto ana matusi yule😅 ,yule kuna nyuzi zimekatika sio bure😅
Yaani mpk unaona aibu ,naona kashindwa kuongea tu bila matusi

SS eti anatoa wimbo wake kuwahusu hao watu😂😂matusi matupu jmn
 
Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana
Nipende kusema huyu ndiye aliyeko nyuma ya kila kibaya kinachofanyika sasa sawa na ubaya uliofanyika kipindi chake,na huyu Mama ametiwa uoga ili awaachie kundi fulani wafanye wanavyotaka,
Bega kwa bega na yeye, lipo haramia kubwa linaloifanyia nchi yetu udalali kwa Waarabu, Rostm. Combination ya Rostm na Msoga, ni maafa kwa Taifa, na sasa wamemwongeza na Abdli
 
Pole pole anajua mengi kuliko sie humu. Hayo unayo zungumza huenda kayajua kitambo sana. Na anachofanya kakipigia hesabu vizuri sana na wanajua mchezo wanao fanya ni hatari kwake na walio nyuma yake..

Anayoyazungumza leo HP mimi nayajua kitambo, na ninachokwambia hata wao hawana cha kufanya zaidi ya kuzungumza tu maana jamaa wameteka kila unachokiona wewe ni muhimu kwenye ulinzi.

Chukua kutoka kwangu, ameshasema huwezi kufanya maridhiano na wahuni... Sasa kama huwezi kufanya maridhiano kuongea ongea au kuchukua hatua haraka kuiweka nchi kwenye mstari kipi muhimu?..

Nikitegemea kusikia, Jeshi limeshachukua nchi, baadhi ya watu wako ndani, na wengine kuuwawa, mchakato wa Katiba umerudi mezani haraka, TISS imevunjwa, kamati ya mpito imeunda kuweka mambo sawa nk HIZO NDIO HATUA ZA KUCHUKUA na sio blah blah.

Ndani ya mitaa ya Kabul-Afghanistan.
 
Kuivunja TISS ni ngumu, Jeshi kuna mahesabh yake. Tujipe mda tuone.. TISS itafanyiwa reform. Tujipe mda hii ngoma mbichi sana, nakubalina na mtazamo na mawazo yakoo.. ila bado mapema
 
Kuna mambo hayahitaji muda, kuna mambo yanahitaji siri kubwa kuanzia kuyapanga na kuchukua hatua.

Sasa huoni mpaka sasa was wahuni wameshajua kuna harakati dhidi yao na wao wameshashika mpini.
Mpaka sasa tegemeo lililobaki ni mapinduzi ya Kiraia, ndio maana akina HP wanajaribu kuamsha hisia za raia jambo ambalo ni gumu maana raia wameshagawanyika.
Wapo wanaoamini ni chuki dhidi ya waislamu wakishika nchi, wapo wanaoamini ni sukuma gang wamekatiwa mirija, wapo wanaoamini CCM tu na mapichapicha yake kuelekea uchaguzi, wapo wanaoamini katika CDM na Lissu nk

Mengine hatuwezi kuyasema humu, ila yanatisha sana, tena sana.

ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan.
 
Hapa ni kama tunafanya assumptions. ambazo zaweza kuwa ndio na sio. Ndio maana ya kusema tujipe mda. Kwasababu katika kanuni ya kawaida kila jambo lina mwisho, na kinachofikisha mwisho ni kosa dogo tu, ambalo wahuni nao wamefanya na limeokana au watalifanya.. Ukisikiliza vizuri HP utagundua nao wana uhakika wa kupindua teama wahuni, ujasiri kautoa wapi hatujui mie na wewe tutabaki tunahisi
 
Back
Top Bottom