Kikweta ndio nani mkuu?Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana
Utamjua mwenyewe yawezekana ni wewe mlio uwa viongozi wetu waliokuwa na uchungu na inchi yetu r.i.p MagufuliKikweta ndio nani mkuu?
controversial Jakaya Mrisho Kikwete - Kingwendu- Vasco Da GamaKikweta ndio nani mkuu?
mkulima wa nyanya huku kipera mzumbe.Kikweta ndio nani mkuu?
Hii ngoma nzito sana,ngoja tuangalie maana hata Jemedari Magufuli inaonekana alikuwa anamuogopa tena akiwa RaisWananchi tunafanya jukumu gani?
Kama umeshindwa kuelewa mleta mada anamzungumzia nani, basi ni wazi huna uwezo wa kuelewa chochote kwenye hii mada.Kikweta ndio nani mkuu?
Inasikitisha sana,Mzee warioba na Butiku pamoja na wale wanayoiombea mema inchi ni watu na nusu,huku Makonda yule nyoka mbaya sana yule ni mtu wa tamthiliaNa kwasasa huenda kuna ufisadi mkubwa anaufanya zaidi ya ule kipindi akiwa rais
Kuna watu wanahis duniani wataishi milele
Kichekesho ni kwamba hizi fitina zinatoka kwa mmoja wa vijana aliowalea yeye mwenyewe kisiasa!.Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana
Nipende kusema huyu ndiye aliyeko nyuma ya kila kibaya kinachofanyika sasa sawa na ubaya uliofanyika kipindi chake,na huyu Mama ametiwa uoga ili awaachie kundi fulani wafanye wanavyotaka,
Mwana mtandao mwanzilishiNapenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana
Nipende kusema huyu ndiye aliyeko nyuma ya kila kibaya kinachofanyika sasa sawa na ubaya uliofanyika kipindi chake,na huyu Mama ametiwa uoga ili awaachie kundi fulani wafanye wanavyotaka,
Wewe ni nyumbu kama nyumbu wengine. Wazee tumesikiq, tunahisi, Maria kasemq, Braza K karopoka. Ukiambia ushahidi huna. Watu wanaomchukia Kikwete ni wale waliokuwa na nia ovu wakashindwa.Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana
Nipende kusema huyu ndiye aliyeko nyuma ya kila kibaya kinachofanyika sasa sawa na ubaya uliofanyika kipindi chake,na huyu Mama ametiwa uoga ili awaachie kundi fulani wafanye wanavyotaka,
Mtavuliwa nguo zenu zote mpaka tuuone utupu wenu,na huyo mwamba hamna uwezo wa kumteka atatupa siri zenu zoteWewe ni nyumbu kama nyumbu wengine. Wazee tumesikiq, tunahisi, Maria kasemq, Braza K karopoka. Ukiambia ushahidi huna. Watu wanaomchukia Kikwete ni wale waliokuwa na nia ovu wakashindwa.
Kuna dada TikTok 🙌🙌shida yake anatukana ila anavyomchana huyu mtu , mhhhhhhUtamjua mwenyewe yawezekana ni wewe mlio uwa viongozi wetu waliokuwa na uchungu na inchi yetu r.i.p Magufuli
Handle yake pleaseKuna dada TikTok 🙌🙌shida yake anatukana ila anavyomchana huyu mtu , mhhhhhh