vijisenti?Our govt is broke!....na mabasha zetu wanapunguza misaadaKama huna hoja bora usiandike. Hata Mzee mwanakijiji anakushinda kwa unaa.
Hivyo, kwa Serikali mbona ni vijisenti tuu. Unaishi karne ipi wewe?
Me Nakuita Ndegemshindo Mwenye akili za kufundishwa. iweje useme ni vijisenti wakati kila kukicha serikali inasema haina fedha. Migomo ya wafanyakazi walisema pesa hakuna wanafunzi kama kawaida wimbo ule ule unamzodoa mwenzako wakti wewe ni bure kabisa yaelekea ulikuwepo kwenye maandamano ya kusapoti ufisadiKama huna hoja bora usiandike. Hata Mzee mwanakijiji anakushinda kwa unaa.
Hivyo, kwa Serikali mbona ni vijisenti tuu. Unaishi karne ipi wewe?
Uamuzi wa mkapa 'ben' kuamua kuuza nyumba za serikali kwa watumishi wa serikali umesababisha hasara kubwa kwa nchii hii .
Miaka 5 ya mwanzo kulikua na mawaziri na manaibu wao pamoja na makatibi wakuu ambao takriban 25 hawakua na makaazi ya serikali hivo walikua wakiishi mahoteli kwa gharama za serikali.
Na sasa kipindi cha pili kuna mawaziri wapya wanakaa hotelini. New africa pekee yake kuna vigogo 10 na familia zao wanaishi katika suites ambapo bila ya chakula bei yake ni usd 300 kwa siku na watoto wao wanakaa room za kawaida . Wengine wana ma body guard wao wanakaa humo kwa gharama za serikali pia.
Wako wengine wanakaa golden tulip , wapo wanaokaa double tree hilton na wengine holiday inn.
Kwa siku gharama kwa walalahoi inawatoka kama usd $ 30,000.00
kwa mwezi kama $ 900,000/ zinatumika sasa fanya kwa mwaka $ 10,800,000/
tunaweza kununua dowans mpya
laiti nyumba zile hazikuuzwa haya yasingekuwepo....usiseme uuzwaji wa nbc, mashirika ya umma na km
Kama huna hoja bora usiandike. Hata Mzee mwanakijiji anakushinda kwa unaa.
Hivyo, kwa Serikali mbona ni vijisenti tuu. Unaishi karne ipi wewe?
Magufuli na che mkapa wana kesi ya kujibu kwenye hili.nilishawahi kuandika .... huyu jamaa sio mtanzania mzalendo ama yu mwenye asili ya taifa lingine aliyejaa chiki na wivu juu ya nchi yetu iliyojaa neema ......kama mmnezoea chuki (martyrdom) huko kwenu basi ujue hakuna mtanzania mwenye roho mbaya kama hii ..... hata mafisadi hawana roho mbaya ila wana tamaa ya fedha na utajiri ..... nimekosa kundi la kukuweka
nahisi kuna satanic influences over your medulla oblongata
God forbid
Jamani wana JF na Wa-TZ kwanini tusifungue kesi mahakamani kuwashtaki viongozi wetu walijiuzia majumba ya serikali masaki,osterbay,mikocheni,posta kwa bei rahisi kuanzia mil 3 hadi mil 9,CHADEMA tunaomba muongozo wenu
Shukrani
Jamani wana JF na Wa-TZ kwanini tusifungue kesi mahakamani kuwashtaki viongozi wetu walijiuzia majumba ya serikali masaki,osterbay,mikocheni,posta kwa bei rahisi kuanzia mil 3 hadi mil 9,CHADEMA tunaomba muongozo wenu
Shukrani