Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Si=ubiri uone hata kama hiyo hoja itapata nafasi kuwasilishwa. Hizo nyumba zimeshakwenda, tusahau
When the political capital is right, nyumba hizo zitarudi tu, tupende tusipende.Si=ubiri uone hata kama hiyo hoja itapata nafasi kuwasilishwa. Hizo nyumba zimeshakwenda, tusahau
makosa yalishafanyika,ni wakati wa kumwadabisha magufuli,sasa hivi kaja na staili ya kuchafua mabango ya watu na wino mwekundu,kwani yanapunguza nini,huyu ni mgonjwa wa akili na tunamwendekeza,mtakuja kushtukia anatangaza kubomoa ikulu iko karibu na bahari,he is mad
Tatizo nyumba ziliuzwa kama nyumba wakasahau value za kiwanja, pia hakuangalia location zilizokuwapo. Haiwezekani utoe sababu ya gharama za matengenezo kubwa eti uuze nyumba, zikowapi walizojenga? Lazima zirudi walijenga mpya watakula hasara.Nyumba zile za serikali maintenance costs zilikuwa kubwa sana ndiyo maana zikauzwa. Utakuwa maintenance cost ya nyumba hasa hizo za waheshimiwa bei zake zilikuwa inflated mpaka balaa halafu vitu vinavyowekwa ni vya lowest quality.
Hata ingekuwa nini siyo sote ambao tungeweza kupata hizo nyumba. Zingeuzwa kwa tenda wangenunua wahindi basi - akina Manji, Dewji na wengine ambao wana haki ya kuishi mjini.
Nyumba nyengine zilikuwa hoi waliouziwa hayo magofu wamevunja na kujenga nyumba nyengine za maana sasa utairudisha vipi?
Nyumba zile za serikali maintenance costs zilikuwa kubwa sana ndiyo maana zikauzwa. Utakuwa maintenance cost ya nyumba hasa hizo za waheshimiwa bei zake zilikuwa inflated mpaka balaa halafu vitu vinavyowekwa ni vya lowest quality.

hawataiunga mkono hoja
Huwezi kulinganisha gharama za maintenance ya nyumba katika tropical area na gharama za kuwaweka mawaziri hotelini miezi nenda miezi rudi kwa ukosefu wa nyumba. Nyumba za kitropic ukishapiga rangi tu na kubadilisha madirisha inadumu kwa zaidi ya miaka 10 bila kuhitaji another maintenance. Njoo na kisingizio kingine. Hata kama nyumba zilikuwa hoi serikali ingeweza kujenga nyumba mpya katika kiwanja hicho hicho. Mbona serikali hiyo hiyo ilitangaza kuwa inajenga nyumba mpya za wafanyikazi wake? H izo hela ilizitoa wapi. Kajipange upya Bibi kijakazi.Nyumba zile za serikali maintenance costs zilikuwa kubwa sana ndiyo maana zikauzwa. Utakuwa maintenance cost ya nyumba hasa hizo za waheshimiwa bei zake zilikuwa inflated mpaka balaa halafu vitu vinavyowekwa ni vya lowest quality.
Hata ingekuwa nini siyo sote ambao tungeweza kupata hizo nyumba. Zingeuzwa kwa tenda wangenunua wahindi basi - akina Manji, Dewji na wengine ambao wana haki ya kuishi mjini.
Nyumba nyengine zilikuwa hoi waliouziwa hayo magofu wamevunja na kujenga nyumba nyengine za maana sasa utairudisha vipi?
Tatizo nyumba ziliuzwa kama nyumba wakasahau value za kiwanja, pia hakuangalia location zilizokuwapo. Haiwezekani utoe sababu ya gharama za matengenezo kubwa eti uuze nyumba, zikowapi walizojenga? Lazima zirudi walijenga mpya watakula hasara.
Kwani value ya viwanja vya serikali inakuwa ni bei gani? Mbona watu wa ardhi wanajichukulia vingi vingi halafu wanaviuza kwa bei kubwa kabisa? Mfano Mbezi beach, Kigamboni mpya na kadhalika.
Kwenye system yo yote ile kuna wanaofaidika na wale wanaokula hasara hiyo haipukiki.