Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 17
1, 2, 3 siyo sawa nitachagua number 4, ambayo nina uhakika wewe na sisi tunaijua.
Lakini bado inabidi tumuulize kwanini tumefikia hapa tulipo?
Ninajiquote nilichosema tarehe 15/10/2009
Ninapendekeza;
Mnisamehe kwa kujiquote!
- Serikali ihakikishe mitambo ya IPTL inawashwa mara moja wakati mazungumzo yake na IPTL yakiendelea kwa kuharakishwa (fast tracking). Hali ya nchi ni mbaya, ni sawa na vita, haiwezekani serikali yenye mamlaka ishindwe kuhakikisha IPTL inazalisha umeme wakati mazungumzo yakiendelea. Haiwezekani.Labda kama haina uchungu na maisha ya watu wake.
- Sikutaka kusema chochote nikiamini kwamba Shirika la TANESCO, Serikali, na kwa upande wa bunge, Kamati ya masuala ya Nishati na Madini, wangeweza kutoa majibu ya tatizo linatukabili. Badala yake, juhudi nyingi zimetumika kutafuta chanzo cha tatizo na kuchelea kutoa suluhuInaumiza sana kuona kuwa tunaendekeza siasa rahisi tunaposhugulikia masuala mazito ya kitaifa kama Nishati. Inasikitisha zaidi pale tunapoona kuwa serikali inashindwa kuchukua hatua mahususi za kuhami uchumi wa Taifa letu. Serikali na Bunge hazitoi suluhisho la hali hii na ni wazi kuna kutupiana mpira wakati nchi inaumia. Serikali imewekwa madarakani ili ifanye maamuzi na tuihukumu kwa maamuzi hayo. Serikali ni lazima sasa iamue.
- Mazingira magumu kama haya yanahitaji maamuzi magumu (extra ordinary circumstances require extra ordinary decisions). Ninaamini serikali itazingatia ushauri wangu.
Ikulu inasema wafanyabiashara ndio wamemwomba Rais. Ni sawa tu........
hili ndilo swali ninalomuuliza Zitto hapa na analikwepa kwa nguvu zote.
Umejikwoti hapo juu ukieleza kuwa ulishauri kuhusu IPTL.
Je ulipendekeza IPTL na Dowans baada ya kuulizwa au ni uamuzi binafsi?
Baada ya kusema kuwa hali ya umeme ni kama vita (almost a year baada ya tatizo kuwekwa hadharani), sitakushangaa ukiandika hivi
Unamuuliza Zitto kwani yeye anamamlaka gani ya umeme nchini..? yeye ni waziri?
Kwani kazi ya raisi wa nchi ni nini (iwapo kila kitu kinafanywa au kitafanywa na wasaidizi wake)?
Mkuu pse,
Do your homework very well before you come here.
nilimaanisha kikwete, kwamba , kwanini sasa , na kwanini tumefika hapa, maana uamuzi wa leo umetoka kwa kikwete au hapa tunamjadili zito? thread ya pendekezo la zito si ipo?Kwani Zitto ni waziri wa Umeme Tanzania?..
Jifariji tu na nafsi yako. My record is clear
Zitto ameanza kujikwoti hapo juu kuwa yeye ndiye alitoa hili wazo la IPTL. Je alilitoa kama nani? umejiuliza hilo swali?
Namba nne na namba tano zote zinakaribiana ila kwanza Kevo anabishana kuhusu namba moja au mbili. Bado namsubiria afanye chaguo lake.
Sasa kuna maana gani ya kuwa na wasaidizi, basi tufute baraza la mawaziri, au unasemaje mkuu?.
Na wewe unamuuliza swali hili kama nani, umejiuliza swali hili....na unachangia mjadala wa maswala ya mgao wa umeme tanzania kama nani?..Ngeleja?.?