Nauliza swali kama mwana JF.
Next......
Mkuu Lunyungu,
Sikujua kama muda wa mtu kuwepo hapa forums unamfanya huyo mtu kuwa na ujuzi zaidi wa mambo! Mimi sina ugomvi wowote na Zitto. Soma posts zangu zote hapa jf na utagundua kuwa leo ni mara ya kwanza kwangu kuwa na debate na Zitto.
Sidhani kama nimekuzuia kujadili mambo ya maana kwenye hii thread. Yaani watu mnaanza wenyewe kumuingiza Zitto kwenye mjadala (huku Zitto naye akiwaunga mkono kwa kujikwoti hapa), watu wengine nao wanaingia kutaka kujua upana na uhusika wa Zitto na kisha hilo linakuwa tatizo?
Mkuu Moelex23,JK mkuu, cha kufanya ni kuwaita Wartsila, Ericsson na GE hapo TZ very soon, kuwe na kikao na uwaambie TZ tunahitaji gas powered generators za 300MW kwenye fast track modality, watoe quotes na since hayo makampuni yote ni among the world best, mwenye quote ya bei ya chini ndie apewe hiyo tender ili say in 12 months, tuwe tumemaliza hii issue once and for all.
Mkiwasha IPTL week ijayo ukitokea uharibifu mwingine kwa juhudi za kina Rostam tutakuwa tumerudi palepale.
Hapa tunaweka plaster kwenye tatizo, KATA MZIZI WA FITINA JK watu tumove on na uwekezaji sio tunaact kama huu ni mwaka 1947.
Haya ni maswali mazito sana Kaizer. Labda swali la kuongezea tu - kama wanaweza kuamuru (au kushauri kama Zitto alivyofanya) leo kuwa IPTL iwashwe? nini kitawazuia kesho wasiamuru (na kushauri) kuwa izimwe?
JK amesambaza taarifa hii kwenye vyombo vya habari bila kumjulisha Ngeleja, Jamaa mpaka sasa anaongea pumba tuu.
Sikonge,hii ya mapanki imenikumbusha mbali sana! Huwezi amini wale watu waliokwenda kuandamana karibu nusu yao mlo wao wa mchana siku hiyo kitoweo kilikuwa mapanki,halafu wakaenda kuandamana kulaani ile filamu na kusema wao hawali Mapanki!Ningelikuwa Millionea basi ningelifanya tangazo kwenye CNN, BBC, Fox, Al-Jaazir, nk kuwa msije kuwekeza Taanzania hadi ile nchi iwe na umeme wa uhakika na maji ya uhakika. Na ningelisubiri mtu anitukane na kuniandama kama yule jamaa wa film za Mapanki na hapo ningelimpa habari /maneno yake.
Sikonge,hii ya mapanki imenikumbusha mbali sana! Huwezi amini wale watu waliokwenda kuandamana karibu nusu yao mlo wao wa mchana siku hiyo kitoweo kilikuwa mapanki,halafu wakaenda kuandamana kulaani ile filamu na kusema wao hawali Mapanki!
Kama mambo yenyewe ni haya,bora TIC waweke wazi kipengele cha upatikanaji wa umeme kwa Investors "Invest at your own risk" kuliko fedheha hii tunayoipata sasa.
Rais ni reactive. Anatakiwa awe proactive.
Mitambo ya IPTL ikiwashwa je, mgao wa umeme utakuwa haupo tena?
Kama sikosei taarifa zinasema kuna upungufu wa Megawati 150. IPTL wakizalisha hizo 100MW halafu Songas wakiwasha huo mtambo unaofanyiwa matengenezo wa 20MW zitakuwa zimebaki MEGAWATI 30.
Vipi kuhusu hizi 30MW itakuwaje? Je, watazifidia vipi ili mgao usiwepo kabisa?
Hahahaha:lol: hapo nadhani ndio tutaambiwa tuna vigezo bora vya uwekezaji maana tutakuwa tumeamua kuwa wa-wazi!
The real menace of our Republic is this invisible government which like a giant octopus sprawls its slimy length the nation. Like the octopus of real life, it operates under cover of a self created screen....At the head of this octopus are Dowans,Kagoda and the likes interests and a another group of powerfully investors and business personell. The coterie of powerful inestors and business personell virtually run the Tanzanian government for their own selfish purposes. They practically control the political party in power.
Our government has forgotten its role to their people and the Tanzanian people are simply forgetting their role to their own government!