Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

Ni bora tuwe wa-wazi kuliko usanii huu tunaoufanya,aidea ya Sikonge ya kutumia CNN,BBC na Aljazeera,ni muafaka kabisa.Hivi unaweza amini TANESCO wako confortable kila siku kutoa matangazo ya ratiba ya Mgao wa umeme magazetini ,utadhani ni sifa badala ya kutafuta njia za kutatua tatizo lenyewe.

Nyamizi,
Nilishaandika kuwa inabidi iwekwe kwenye katiba kuwa "swala la maji na Energy milele liwe chini ya serikali". Labda hii itamaliza ndoto za viongozi kutajirika kwa kupitia maswala ya energy na hasa umeme.

Hata uwe mchapa kazi kama Mchina, leo ukipewa Tanesco basi ufahamu kuwa utakwama. Kwanza Tanesco kapewa mtu ambaye amehusika katika kupitisha pesa za Rada. Pamoja na watu kusema na UK kumwaga data, jamaa bado anadunda. Hapo unakuta Waziri naye ni Mshikaji. Waziri wa mambo ya ndani anatoka kwenye kampuni ya uwakili iliyohusika kwenye wizi wa Deepgreen. Waziri wa utawala bora mama Simba, alilalamikiwa kuwa kamwaga pesa ili achaguliwe kuwa mwenyekiti wa UWT. Wapelelezi ndiyo hao ambao hata akifanya kazi, anaambiwa acha au utafukuzwa kazi. Hosea ndiyo mchafu haswaa. Ukimwambia anakutishia kuwa "nitamwaga hapa uchafu wako", na watu wananywea kama kale kamti ka Mfausiku (Kamnyangala kakiguswa). Sasa hapa unategema nini? Inabidi tu na wao waridhike na hali hiyo ingawa na wao nafikiri wanafaidi mgawo.

Jamani, hata huko Czeczenia kuna umeme na tena wa uhakika. Hata Albania nako wanafaidi umeme. Sisi yaani Maji, maji taka na umeme ni mzinga wa karaha. Huko vijijini ndiyo kazi. Jamaa yangu mmoja alikuja kutoka UK na kufika Sikonge, mtoto wake akalalamika wakati wa usiku kuwa " Daddy, never saw this type of darkness."
 
Mkuu Kevo heshima mbele kiongozi.

JK alikuwa anajua waziri Ngeleja angeweza kutatua hili tatizo, kumbe hakujua jamaa ni bomu vibaya sana.

Si kila kitu anatakiwa kufanya yeye ndiyo maana ana mawaziri na mawaziri ni watu wakubwa sana serikalini, sisi wetu sijui hawajui hilo.


Ahaaa hakulijua hili pale walipogawana vyeo kwa kigezo cha 'wenzetu', wanamtandao au fadhila badala ya uwezo wa mtu, background na experience yake.
 
Hilo jibu la swali la mwisho limeniacha hoi!

Kikwete yuko Sahihi kabisa. Siku anaondoka atajisifu kuwa "niliwakuta mna upungufu wa lita milioni moja za maji na umeme MW200. Nimewaacha juu zaidi kwa upungufu wa lita milioni 1.50 za maji na umeme upungufu wa MW300." Si tutakuwa tumepanda?

Inabidi hata watoto wao wakionekana kama UK au USA, ni kuwavalia na wao mabango kwa madhambi wanayofanya baba zao. Sasa unamuona mtoto wa Chenge, unamchekea........ Unamuona mtoto wa Mzindakaya unaona umepata rafiki. Watoto wao nao inabidi waanze kupata hardtime kama sasa hivi watoto wa wenzao wanavyokaa chini wakiwa shule wakifanya mtihani.
 
Maamuzi mazuri,atlast amechuku maamuzi magumu kama alivyoshauri Zito Kabwe.sijui ni kwa nini Ngeleja hakufanya maamuzi haya mpaka Rais anaingilia kati.Pamoja na yote saluti kwa raisi.
 
Pamoja na yote matatizo tulokuwa nayo sasa hivi, ningepenbda kuelewa kaa hatua hii itaondoa tatizo la Umeme au kupunguza tatizo kwa kiazsi gani..
Naelewa fika mahitaji yetu zi zaidi ya Mw 100, ni zaidi ya mtambo huu, wa Songos, Dowans na Witsila zote zikifanya kazi kwa wakati mmoja..bado tutakuwa na matatizo ya Umeme kama ilivyo ktk Maji safi..
Je, serikali ina mkakati gani na kwa muda gani kufikia TATIZO kuwa historia maanake hizi hadithi tumeziona toka enzi ya Mkapa.
 
Lakini Ngereja si ndio alikuwa anatakiwa kumweleza Rais kuwa nimeamua kuwasha mitambo ya iptl? Mbona Zitto kaongea na yametekelezwa. Je waziri hana nguvu ya kufanya maamuzi? Naomba kujua Nguvu ya Waziri. Kipi anaweza kutekeleza bila Rais kumwingilia na kukawa na maslahi kwa Taifa?
 
Je, Hii yote ilipangwa?..
Bofya hapa kisha soma kifungu cha 6 Part D, kuhusiana na IPTL.

Mkuu Mkandara kula tano. Hii kwa vyovyote vile ilipangwa na sasa imefika wakati wa kutekeleza. Sijui kama Zitto na yeye alifahamu hili na akaja kuwawahi kwa kusema iwashwe mitambo. Alijuaje kuwa iko tayari? Au kwa sababu wenzetu wako chunguni? Basi kumbe hatufahamu mengi na hapa kwa kweli tunacheza wanavyoimba WANASIASA.
 
Kikwete anawajua Vizuri IPTL waliingia nao Mkataba Mbovu yeye (JK) akiwa Waziri Wa Madini na Nishati (1995),Kwa kumbukumbu pitia tena kipande hichi cha gazeti kama kilivyoandikwa na Gazeti la Thisday - 2008

AN independent investigation into the dubious Independent Power Tanzania Limited (IPTL) contract has established that the project suffered ''from a complete lack of professional scrutiny'' and was prone to corruption in high levels of government.

Apart from the involvement of bribery in the 20-year deal signed in 1995, the investigation by a Washington DC-based investigative consulting firm, Decision Strategies Fairfax International (DSFX), gathered overwhelming evidence suggesting that the integrity of high-level government decision-making processes was compromised.

US investigators working with their Tanzanian counterparts from the then Prevention of Corruption Bureau (PCB) gathered a trail of evidence revealing that the IPTL ''project was addressed and facilitated by certain government officials in a most unusual, secretive and out-of-channel fashion.''

However, despite official statements made to authorities by several government officials revealing that they were offered huge bribes by IPTL operatives to approve the deal, there have so far been no criminal prosecutions of the alleged corruption -- more than a decade after the controversial project was signed.

Experts say the 100MW energy contract will continue to bleed Tanzanians of millions of US dollars until the agreement formally expires in 2015.

Following is a chronology of key events in the IPTL scandal, sourced from official government records seen by THISDAY:

Early 1992

Tanzania starts to experience extensive power rationing caused by a period of prolonged drought. The government reviews a number of proposals for an emergency solution to the crippling power cuts.

November 1994

Independent Power Tanzania Limited gives the government a proposal for medium-term power project. IPTL is a joint venture between Mechmar Corporation of Malaysia (70%) and VIP Engineering and Marketing Limited (30%), a local company owned by businessman James Rugemalira.

December 1994

Representatives of Mechmar visit Tanzania and hold talks with a government delegation comprising officials from the then Ministry of Water, Energy and Minerals, the Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) and the Attorney General's Chambers.

January 1995

Ministry of Water, Energy and Minerals sends a draft Cabinet paper to the Inter-Ministerial Technical Committee (IMTC) in favour of the IPTL proposal. The IMTC rejects the draft paper on the ground that it was not supported by any financial or economic analysis. After the IMTC's decision, TANESCO's then Managing Director, Baruany Luhanga, commissions London Economics International, an independent economic consultancy firm, to assess the financial and economic implications of the proposed IPTL project. After a preliminary assessment, London Economics concluded that the terms of the agreement would be a huge burden to the Tanzania government and overly favour IPTL. The UK firm recommended that the terms of the contract should be analysed in greater detail before any agreement was finally reached.

May 3, 1995

Against expert advice, the Cabinet approves the signing of a power purchase agreement (PPA) and the implementation agreement (IA) with IPTL on the condition that the final electricity tariff in PPA should not be mentioned until after its economic committee had assessed the project's financial and economic implications.

May 26, 1995

TANESCO's Board of Directors approves the signing of the PPA after the power utility's management informed the board that the Ministry of Water, Energy and Minerals (the parent ministry) had given authorization to sign the contract. The PPA was thereafter signed on the same day. A tariff of 10 US Cents per kilo-watt-hour (kwh) is one of the key terms of the PPA, which is abnormally high considering that TANESCO's tariff to consumers was less than 9 US cents per kwh. By signing the contract, TANESCO becomes contractually bound to buy power from IPTL at bloated rates for a period of 20 years.

July 16, 1996

The Ministry of Water, Energy and Minerals issues an electricity licence to IPTL with a condition that IPTL and TANESCO should agree on a tariff since the PPA as amended did not give a clear tariff calculation mechanism.

February 1997

IPTL signs an engineering, procurement and construction (EPC) contract with Stork-Wartsila NSD of the Netherlands. IPTL breaches the contract with TANESCO by installing medium-speed diesel (MSD) turbines instead of the slow-speed diesel (SSD) engines specified in the agreement. This was a direct departure from the terms of the PPA and TANESCO was not even notified by IPTL about this fundamental change.

September 1997

President Benjamin Mkapa issues instructions that the IPTL contract terms be renegotiated and orders the Ministry of Energy and Minerals to write to IPTL and express the government's concern over a range of matters, particularly irregularities in the negotiations, the approval process and the onerous terms in the agreement which benefited IPTL to the government's detriment.

October 13, 1997

The Cabinet approves that the IPTL project should proceed with the condition that the independent power company contractually binds itself to a tariff of 10 US cents. IPTL rejects this conditionality.

March 1998

TANESCO gets the government's approval to issue a notice of default to IPTL over the private company's unilateral decision to install diesel engines (turbines) with different specifications from those specified in the PPA. IPTL later files a suit in the High Court in Dar es Salaam seeking TANESCO to pay its monthly capacity and energy charge obligations under the agreements and succeeded in this action, which was later stayed pending the Court of Appeal's determination over the matter. The matter later ends up for arbitration before the International Centre for the Settlement of Investment Disputes (ICSID) after IPTL failed to justify cost structure and payments.

February 2001

The London-based ISCID rules that IPTL was overpriced by $23.5m but that the contract still stands since TANESCO was aware of the switch from SSD to MSD.

2002 � present day

IPTL's local shareholder in Tanzania, VIP Engineering & Marketing Limited, files a petition at the High Court in Dar es Salaam to wind up IPTL. The case has been ordered to be referred to the London Court of International Arbitration (LCIA), which says it has jurisdiction over such claims.
Mechmar''s Executive Director and group financial controller, Loh Kiat Loon, dismisses the move, saying the court action was nothing more than an attempt by VIP Engineering to obtain a ''better valuation for their share'' of IPTL.

Meanwhile, the government has been forced to pay a staggering $30m (approx. 35bn/-) each year to IPTL, whose Malaysian owners now say they have no intention of selling the power plant to the government, as previously implied.

The current Ministry of Energy and Minerals is reluctant to answer any queries on the IPTL saga, referring queries to the Attorney General's Chambers.
 
Mh. Ameshtuka na ile thread ya leo inayomsifia Lowasa, sasa ameamka.

Wewe Kwame Nkurumah, mbona hio thread wengine hatujaiona? Anasifiwa Lowasa hapa ukumbini!!!!! Siamini hata kidogo. Wapo wapi akina Kigogo??? Wapo wapi akina Blu???? Ama Lampart kumbe kasema kweli kuwa TANZANIA TUMEKWISHA!!!!
Sasa hata wale watu wazuri watakuwa mafisadi na baadae wataanzisha miradi na watakuwa washasameheka!!!
 
timing za kisiasa tuuu, hana ubavu wowote...
 
Pamoja na yote matatizo tulokuwa nayo sasa hivi, ningepenbda kuelewa kaa hatua hii itaondoa tatizo la Umeme au kupunguza tatizo kwa kiazsi gani..
Naelewa fika mahitaji yetu zi zaidi ya Mw 100, ni zaidi ya mtambo huu, wa Songos, Dowans na Witsila zote zikifanya kazi kwa wakati mmoja..bado tutakuwa na matatizo ya Umeme kama ilivyo ktk Maji safi..
Je, serikali ina mkakati gani na kwa muda gani kufikia TATIZO kuwa historia maanake hizi hadithi tumeziona toka enzi ya Mkapa.
Tatizo litaendelea kuwepo ingawa kwa kiwango kidogo (unless mkuzimwa kwa mitambo zaidi kwenye mabwaya maji). Last week tanesco walisema deficit kwenye grid ya taifa imefikia MW150. Iwapo IPT itazalisha at full capacity, tutapata MW 100. Sngas ikianza kufanya kazi kesho kama tulivyoahidiwa, tutapata MW20 nyingine hivyo tutabakiwa na derficit ya MW30
 
Laiti kama Zitto angekuwa anapitia CHADEMA na mawazo kama haya halafu anapewa nafasi kutoa matamko haya kwa niaba ya chama chake. Bwana mdogo yuko busy kujijenga yeye kama taasisi. Tutaiondoa CCM madarakani kweli kwa UMIMI wa kiwango hiki cha Zitto?
 
Back
Top Bottom