Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Kura ya wazi ndio itaonyesha dhamira ya mjumbe kama yupo upande wa Watanzania ama ana yake binafsi kwenye bunge maalumu.
Wale wote wenye kutaka kura ya siri ni dhahiri tayari wameonyesha kuwa wana ajenda zao zenye maslahi kwao tu. Watanzania kwenye hili hatuwezi kukubali.
Dhamira ya kila mjumbe ni lazima ijulikane. Katiba hii ni ya kila raia, sasa kwanini ninyimwe haki yangu kushuhudia kura gani imepigwa kwenye kila kifungu!?
Ndiyo maana tunataka maamuzi ya upatikanaji wa KATIBA MPYA uandaliwe na hili BUNGE maalumu la katiba, na siyo kundi lolote. Hivyo ni vema vyama ama makundi yoyote yasishinikize misimamo yao, ni vizuri wakubaliane kwa hoja za msingi katika mambo yote.
labda taifa la mafisadi!Ccm kwa ustawi wa taifa letu
kama ni kweli tusubirie tuone hiyo siku
Kwani katiba inayoandaliwa ni ya wapinzani!!??, Mbona kila chama kina msimamo Wake, kwanini uone msimamo Wa CCM ndo m'baya!?í-½í¸’
Safi sana mheshimiwa rais lazima wanafiki wajulikane na wanasiasa muflis wafyekwelewe mbali sioni mantiki ya kura ya siri kwenye maslahi ya kitaifa hapo ndo pa kuwasaga saga wenye ndimi mbili
hatutaki mambo ya siri sir hapa,tunataka uwazi,anaye taka kufanya siri akafanye chumbani na mkeo
Ccm kwa ustawi wa taifa letu
Mungu inusuru nchi yetu.tumeaminishwa kuwa kila mtu anaweza kuwa Rais wa Nchi hii.bahati mbaya hata wenye uelewa kama nazi Koroma sasa wanatuongoza.Huyu hana tofauti na Mangungu!