Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Usiumize kichwa mkuu, ameteuliwa kwa sababu ya Utanzania wake na si kwa Uzanzibari wake!

Nadhani hili litachochoa watu kutaka kujadili muungano na kupata clarity kwa mambo kama haya. Katiba ya sasa iko bubu sana!
 
hakuna yeyote mzuri aliyeteuliwa hapo?
Sema na zuri uliloliona kisha eleza makosa?
Baraza zuri, at least kawaacha mawaziri waliovuruga ni mabadiliko mazuri tofauti na miaka ya nyuma wangebadilishwa wizara tu.
kwa upande wangu nimeona msimamo mzuri kiutendaji
 
huenda akawa ni "kiraka" kwa any gap litakalojitokeza bali kwa ujumla ni utumiaji mbaya wa madaraka na r/mali za taifa
 

Pia alishawahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
 

Hata hawajaanza kazi mumeanza kulalamika, mulitaka muchaguliwe nyinyi akina pro-Hitler? Hebu angalia hiyo swastika uliyoweka hapo kaburu weeee.
 
Kama uchungu wa mtoto ajuae mama basi uchungu wa kuachwa kwenye baraza la mawaziri anajua ngeleja.
 
Ndio lala salama kwa hiyo ameweka uswahiba mahali pake.....top!
 
Nadhani hili litachochoa watu kutaka kujadili muungano na kupata clarity kwa mambo kama haya. Katiba ya sasa iko bubu sana!

Moja ya agenda za G55 ilikuwa ni pamoja na hili la Wazenji kupewa "Ulaji" kwenye Wizara hizi ambazo sio za Muungano.
 


Walikuwa ni wabunge wa majimbo gani? (Bara au Zanzibar?)
 
technical mistake! huwezi kuwa waziri mpk uwe mbunge na huwi mbunge mpaka uapishwe na hata uwaziri pia mpka uapishwe,kimsingi wabunge wateule wamekuwa mawaziri wateule litakuwa tatizo kubwa sana kisheria kama wataanza kuapishwa uwaziri hali ya kuwa hawajaapishwa ubunge na mungu aepushie mbali maana itakuwa historia katika taifa hili endapo wataenda dodoma kuapishwa ubunge hali ya uwa tayari walishaapishwa uwaziri. Langu jicho maana CDM imejaa wanasheria asije akatakiwa kupangua tena baraza lake ndani ya siku tatu.
 

Hahahahahahahaahahahahaha, Wazanzibar mna matatizo kweli. Umeona hamna vibalagashia vya kutosha unaita baraza bovu! Lol! hamnazo kweli nyie watu.
 
hapo kwenye blue sijakuelewa kabisa!!

ni kawaida kwa wenye mioyo migumu kutoelewa baadhi ya mambo,nashindwa kukuelewesha kwani sina teaching aids.zitto atamfundisha mambo ya fedha huyu mzee mroho wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…