January Makamba a.k.a mathread aligushi na kuiba mtihani wa Form 4 pale Galanos. Rungu la necta likamuangukia lakini leo hii anatuongozea science na teknolojia. Hii nchi usanii mtupu na ninaamini kuwa hili baraza ni mpango wa Mungu kuiua kabisa ccm
Kikubwa nitakachoki-miss ni Sauti yake ya ukali na Jazba mara anapojibu hoja za Wabunge.
Kwaheri Agrrey Mwanri.
mjibieni ba mwanaashaooh, unanikumbusha maandiko ya Shabaan Robert; yaani ujumbe, mkong'oto, kejeli na mafumbo humo humo. Ujumbe self contain!!!
Mwanri anaendelea na wadhifa wake kama Naibu waziri TAMISEMI. Ila kwa sasa atakuwa chini ya Hawa Ghasia! (Mwanri chini ya Hawa Ghasia) kweli dunia imejaa vituko!
Mwanri anaendelea na wadhifa wake kama Naibu waziri TAMISEMI. Ila kwa sasa atakuwa chini ya Hawa Ghasia! (Mwanri chini ya Hawa Ghasia) kweli dunia imejaa vituko!
Huyu ni miongoni mwa wana-magamba waliotumainiwa wakashindwa kuuonja uwaziri wala unaibu waziri.
Pia watanzania wengi wanamchukulia kama Free thinker.
Je tuamini kuwa hakufaa ama ni adhabu ya kiherehere chake cha kutia saini..
If u put Deo as a minister yu will b reducin tha voice which keeps the gov in checks! Let him continue to stay in parly n not 2 become a minister....thanx baba ritz for that!!.Huyu ni miongoni mwa wana-magamba waliotumainiwa wakashindwa kuuonja uwaziri wala unaibu waziri.
Pia watanzania wengi wanamchukulia kama Free thinker.
Je tuamini kuwa hakufaa ama ni adhabu ya kiherehere chake cha kutia saini..
hakuna jipya barazani hapoAtakuwa anapiga jalamba!
Labda baraz la JK lina mawaziri ambao ni viraka!
habebeki kwa sababu ya tabia za kinafikiYaani mama Salama ameshindwa kumkingia kifua??
Baada ya kusikiliza hukutaka japo kusoma thread za hapa jamvini ambazo wakuu wameweka baraza lote? Tafadhali jifunze kujisomeaHahaha...kweli Mwanzisha uzi amekurupuka. Nimemsikiliza JK Mwanzo mwisho sikulisikia jina la mwanri. Kama kweli yupo kesho nitakwenda kwa daktari wa Masikio.
kafieni na ubaguzi wenu huko, kwani hawa ghasia cy binadamu? Kuwa mnmke2