Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
January Makamba a.k.a mathread aligushi na kuiba mtihani wa Form 4 pale Galanos. Rungu la necta likamuangukia lakini leo hii anatuongozea science na teknolojia. Hii nchi usanii mtupu na ninaamini kuwa hili baraza ni mpango wa Mungu kuiua kabisa ccm
NA BADO UTASHANGAA SANA. MALIMA KURUDISHWA TENA KUWa WAZIRI? Kweli acha kenya watuache kiuchumi na sisi tutawaacha ki MAFISADI! dOOOOOHHHH!