Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

January Makamba a.k.a mathread aligushi na kuiba mtihani wa Form 4 pale Galanos. Rungu la necta likamuangukia lakini leo hii anatuongozea science na teknolojia. Hii nchi usanii mtupu na ninaamini kuwa hili baraza ni mpango wa Mungu kuiua kabisa ccm

NA BADO UTASHANGAA SANA. MALIMA KURUDISHWA TENA KUWa WAZIRI? Kweli acha kenya watuache kiuchumi na sisi tutawaacha ki MAFISADI! dOOOOOHHHH!
 
Kikubwa nitakachoki-miss ni Sauti yake ya ukali na Jazba mara anapojibu hoja za Wabunge.

Kwaheri Agrrey Mwanri.


Mh Agrrey Mwanri bado ni Naibu Waziri wa TAMISEMI chini ya Hawa Ghasia, mnyonge mnyongeni, chake mpeni.
 
Atakuwa anapiga jalamba!
Labda baraz la JK lina mawaziri ambao ni viraka!
 
Mwanri anaendelea na wadhifa wake kama Naibu waziri TAMISEMI. Ila kwa sasa atakuwa chini ya Hawa Ghasia! (Mwanri chini ya Hawa Ghasia) kweli dunia imejaa vituko!

Mimi nashindwa kuelewa kabisa serikali ya JK.
Wizara ya maana kama TAMISEMI anapewa Hawa Ghasia?
Wonders shall never end....
 
Mwanri anaendelea na wadhifa wake kama Naibu waziri TAMISEMI. Ila kwa sasa atakuwa chini ya Hawa Ghasia! (Mwanri chini ya Hawa Ghasia) kweli dunia imejaa vituko!


Amri inakuwa chini ya gasia

 
wakuu bado naona kikwete amechemsha.au ndio kusema hakuna wabunge wazuri ndani ya ccm
 
kafieni na ubaguzi wenu huko, kwani hawa ghasia cy binadamu? Kuwa mnmke2
 
Huyu ni miongoni mwa wana-magamba waliotumainiwa wakashindwa kuuonja uwaziri wala unaibu waziri.
Pia watanzania wengi wanamchukulia kama Free thinker.

Je tuamini kuwa hakufaa ama ni adhabu ya kiherehere chake cha kutia saini..


Lazima watu kama hawa wabaki nje ili wawabane wa ndani.
 
Huyu ni miongoni mwa wana-magamba waliotumainiwa wakashindwa kuuonja uwaziri wala unaibu waziri.
Pia watanzania wengi wanamchukulia kama Free thinker.

Je tuamini kuwa hakufaa ama ni adhabu ya kiherehere chake cha kutia saini..
If u put Deo as a minister yu will b reducin tha voice which keeps the gov in checks! Let him continue to stay in parly n not 2 become a minister....thanx baba ritz for that!!.
 
Kwa magamba ukiwa mchapakazi haufai,jk kaona akimchagua df hatopata gawio kama alilopewa na maige kwa kuuza vitalu.
 
Maghembe,mkuchika na Nyalandu kwa kweli wananichefua. hawakutakiwa kuwepo kabisa
 
Hahaha...kweli Mwanzisha uzi amekurupuka. Nimemsikiliza JK Mwanzo mwisho sikulisikia jina la mwanri. Kama kweli yupo kesho nitakwenda kwa daktari wa Masikio.
Baada ya kusikiliza hukutaka japo kusoma thread za hapa jamvini ambazo wakuu wameweka baraza lote? Tafadhali jifunze kujisomea
 
hawa watu wa magamba hawatabiliki bwana kigwangala mnafiki hawezi, mh february mtandao mpana amekuwa home kwa jk muda na ndo maana ya kelele hutasika tena kwani tayari keshapata:israel:
 
kafieni na ubaguzi wenu huko, kwani hawa ghasia cy binadamu? Kuwa mnmke2

Out of point... sio uanawake au uanaume ndio tunaongelea hapa... 00% thinking,... Is about Performance ww...vihiyo wana shida sana
 
wakati mheshimiwa rais jk akitangaza majina ya mawaziri wateule hapo jana alisisitiza juu ya kuwajibisha watendaji wote watakaobainika kufanya madudu yaliyopelekea mawaziri kuwajibishwa.

Pia katika hotuba ya makamu wa rais iliyoonekana kwenye T.V stations mbalimbali,naye pia alionekana kusisitiza juu ya kuwashughulikia mafisadi''mchwa'' katika halmashauri mbalimbali nchini.

Je Kauli hizi kutoka viongozi wa juu zinaashiria kwamba sasa tutarajie ile sera ya ''fagio la chuma'' kufanya kazi au ni kiini macho?
 
Back
Top Bottom