MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,046
- 1,102
Namchokoza katiba mpya.Is it you? that's pathetically too low and a waste
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namchokoza katiba mpya.Is it you? that's pathetically too low and a waste
Heshima kwenu wanabod! Leo nimefurahi sana kwa mbunge wangu wa Kalenga kutimiza ndoto yake aliyo kuwa nayo tangu alipo staafu kazi yake ya benki[NBC-MWANZA] kabla ya kurudi pale Magunga na kuanza harakati za kutimiza ndoto yake ambayo leo tar.04.04.2012 imetimia.Kwangu mimi nimefurahi sana kwani ameongeza exposure ili watanzania wamjue vizuri kwa utendaji wake na ahukumiwe na wankalenga kihalali.MAJUNGU SI MTAJI,NINAOMBA ASIJE KUJITETEA KWAMBA KAZI KWAKE NI NGENI KWANI AMEJIPAMBANUA MARA KADHAA KWAMBA YEYE NI MTAALAMU WA MASUALA YA FEDHA.NIJUAVYO MIMI HUYU NI CHAKULA YA ZITTO KATIKA MONETORY POLICIES KITU AMBACHO KITAPELEKEA UKOMBOZI WA KALENGA KUPITIA TODY'S EXPOSURE YA MWAMGIMWA BILL.POA TUKUTANE 2015. Nawasilisha,mawazo yangu.
Ushauri wa bure kwa CCM, wasihainge hata kwa nusu saa kusimamisha mgombea Moshi Vijijini 2015. CCM ni bye bye. Umeonaeee jimbo linakwenda kule kusikokua na mizengwe chama makini (CHADEMA)
huyu waziri wa habari na michezo wa sasa, alikua naibu waziri wa habari na mchezo kabla, alivyokua bunge juzi alikua anajibu hoji ya wabunge kuhusu soka ya tanzania, akasimama akasema kua taifa stars imeshawahi kushinda makombe 7, na akataja na timu zingine na vikombe walivyoshinda baada ya kumaliza kuongea akasimama mjumbe mmoja akamsahihisha akamwambia taifa stars haijashinda makombe 7 ila ni matano. Nikawa najiuliza yani huyu amepewa tu report na wasaidizi wake hata hakuifanyia research aone kama kila kitu humu ndani kina ukweli yeye kachukua tu report kaenda bungeni kuisoma...:wacko: sasa huyu naibu waziri wa michezo ambae alikua hata hajui taifa stars imeshashindaga makombe mangapi sasa hivi ndio kapewa uwaziri wa habari na michezo....haki ya naniii..it can only happen in bongo:eek2:
JK amenifurahisha kuwapiga chini akina Alhaj na Hijjat na kuwaingiza watu wanaomwabudu Mungu aliye hai eg Mkullo out, Mgimwa ndani.