Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

Hawa wawili January Makamba na Simbachawene...........Zile kelele zao Bungeni Zimezaa matunda ila wataishia kama kina Ngeleja na Maige coz nao walikuwa hivyo hivyo

Ha ha ha! Naona Anne Kilango hana lake pamoja nakuwageuka watanzania. Mwenzie Sophia Simba anakula vya mwisho mwisho kabla ya viti maalum kufikia ukingoni.
 
Habari za chini chini zinasema aliyekuwa waziri wa megawati atagombea uwenyekiti wa kamati ya madini na nishati

Nafasi amabayo yaonekana itamfa sana na ana uwezo nayo

Nawakilisha
 
Kuongezea taifa garama zisizo na sababu,waziri asiye na wizara maalumu atafanya nini?kazi zake hatuzitui ila gari na benefits zingine ziko wazi kama waziri mwenye wizara
 
....ni mikanganyiko kila kukicha, hilo ni zao la katiba mbovu na kufinyangafinyanga mambo.
 
Hii inayoenesha jinsi muungano ulivyo geresha na pia katiba yatu iliyotanda ukungu. Naomba kama kuna mtu mwenye kumbukumbu atujulishe kama ilishawahi tokea kwa mbunge wa Zanzibar kuongoza wizara ya Tanzania bara peke yake.
 
Kazi yake ni kumsaidia Pinda! Yeye ni sawa tu na alivyokua mrema, naibu waziri mkuu! Pinda kapwaya anahitaji mtu wa kumsaidia kazi!
 
Hili ndio baraza bovu kuwahi kutokea TZ toka Uhuru,

Halitoweza kuleta manufaa yoyote kwa Watz kwa kuwa wengi ya walioteuliwa kuwa mawaziri

wanapokea amri nje ya serikali na sio kwa JK.

JK umedanganywa ukadanganyika.

Soon utagundua haya, tulikushauri hukushaurika.....


Another bad day.
Tume we ni mnazi wa magamba kama logo yako inavyoshuhudia, je ni mambo gani mlimshauri mkulu akapuuza? na je ni sababu gani umeona hili baraza "jipya" ni kimeo?

In short I share your concern that it's doom to fail even spectacularly than the previous one.
 
Vitu hivi ndiyo vinafanya watu wauchukie muungano
 
Yote tisa lakini MKUCHIKA, MAGEMBE, MFUTAKAMBA na NAHODHA! kazi ipo na wala si mchezo.
 
Hapa kweli pana hoja, tatizo huenda Mh. Rais kaipotezea au ameoverlook kwa vile awali alipokuwa Mbunge wa Mkuranga ndipo alipokuwa hapo Wizarani! Sasa sijui watakuja na lugha gani...Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu itakuja na maelezo ya ufafanuzi.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hili ndio baraza bovu kuwahi kutokea TZ toka Uhuru,

Halitoweza kuleta manufaa yoyote kwa Watz kwa kuwa wengi ya walioteuliwa kuwa mawaziri

wanapokea amri nje ya serikali na sio kwa JK.

JK umedanganywa ukadanganyika.

Soon utagundua haya, tulikushauri hukushaurika.....


Another bad day.

Hoja yako ni ya kijinga na umejenga kwa misingi ya udini.
 
Nafikiri wakati umefika na kama ni swala la kikatiba sasa watanzania tufute huu utaratibu wa kipuuzi wa mtu kuteuliwa kuwa waziri asiye na wizara maalum.Huu ni sawa na ufisadi kabisa.
Alafu najiuliza kama Ngeleja kaachwa je ni kwanini aliyekuwa naibu wake Malima kabebwa?Hawa wote walisaini posho ya sh milioni 4 kama sikosei ya Jairo jambo ambalo ni kosa kubwa na la wazi kabisa ukiacha makashifa mengine yanayomkabili kwa mfano kupelekwa South Afrika na kugharamiwa na mfanyabiashara mwekezaji na kukutwa na silaha ya kivita(SMG).
Jawabu ni moja tu huyu mkuu wa nchi anavigezo ambavyo ni double standard kwa wateule wake na kuna sababu na inawezekana ni mahusiano ya Kikwete na wazee(wazazi) wa hawa wanaobebwa.Si mnakumbuka mabomu ya mbagala na jamaa mwingine naye anaendelea kubadilishiwa wizara tu.
Tutafakari.
 
Tume we ni mnazi wa magamba kama logo yako inavyoshuhudia, je ni mambo gani mlimshauri mkulu akapuuza? na je ni sababu gani umeona hili baraza "jipya" ni kimeo?

In short I share your concern that it's doom to fail even spectacularly than the previous one.

Mkuu hana lolote huyo anachowaza ni udini tu.
 
Sorry mandugu lakini nchi yetu inaongzwa KITEMI....au kuna uongozi KITANDANI na nyie mnaongea tuuuuuuuu.....
 
namshukuru rais wangu mh jk kuonesha kuwa katiba si lolote,kwa kumteua uwaziri mtu ambaye hajaapishwa kuwa mbunge ni kinyume na katiba ya sasa ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inayodai rais atateua waziri au naibu kutokana na wabunge walio bungeni...sasa Hawa ambao hawajaapa kiapo cha ubunge si kuinajisi katiba??!

Kama unavyosema kumteua uwaziri mtu ambaye hajaapishwa kuwa mbunge ni kukiuka katiba.
Kosa lingine litatokea jumatatu ambapo kuna watu wataapishwa kuwa mawaziri huku wakiwa hawajawahi kuapishwa kuwa wabunge!
 
[h=2]Ni rafiki mkubwa wa ndugu riz 1 naona undugu kama kawa kwenye baraza jipya la mawaziri. ngoja tuone uwezo wake.


MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1660.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Stephen[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Julius[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Masele[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Shinyanga Mjini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Box 127, Shinyanga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 658 286000/+255 767 286000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]smasele@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]1 October 1979[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 5, align: left"]EDUCATIONS[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%, bgcolor: initial"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%, bgcolor: initial"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, bgcolor: initial, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, bgcolor: initial, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilakala Primary School, Morogoro[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1987[/TD]
[TD="align: center"]1991[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kanawa Primary School, Shinyanga[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwenge Secondary School, Singida[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro Teachers' College[/TD]
[TD="align: center"]Certificate[/TD]
[TD="align: center"]1998[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]University of Dar Es Salaam[/TD]
[TD="align: center"]BA[/TD]
[TD="align: center"]2001[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="bgcolor: initial"]Company Name[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]From Date[/TH]
[TH="bgcolor: initial, align: center"]To Date[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania[/TD]
[TD]Member - Shinyanga Town Constituency[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MIC (T) LTD (TIGO)[/TD]
[TD]Distribution Coordinator Zonal[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Stanbic Bank[/TD]
[TD]Customer Relation Officer[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[TD="align: center"]2007[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Standard Chartered Bank[/TD]
[TD]Loan Officer[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]2005[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="bgcolor: initial, colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%, bgcolor: initial"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, bgcolor: initial, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, bgcolor: initial, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, bgcolor: initial, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Chairperson - Regional UVCCM[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]Todate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD="align: left"]Member - University Youth Team[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kuteuliwa kuwa waziri pasipo kuwa na wizara,je? Prof mwandosya si sawa na waziri mkuu? Waziri KIRAKA
 
Back
Top Bottom