Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe.
Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya usiiache ifutwe na ukimya wako.
Heshima au Uzalendo haupimwi kwa kukaa kimya unapimwa kwa vitendo.
Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu, alikuwa Makamu wa Rais, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Wakili wa Mahakama Kuu.
Warioba ananufaika na marupurupu kutoka serikalini kama Kikwete, lkn kwa uzalendo wake yupo tayari ku-risk yote kwa kuikosoa serikali hiyo hiyo inayomlipa pindi inapokosea.
Warioba
Kikwete