Kikwete ajifunze Uzalendo kwa Warioba

Kikwete ajifunze Uzalendo kwa Warioba

Kuna nchi sii ikumbuki jina wananchi waliitoa serikali madarakani na kundi kubwa likiwa ni vijana kisha wakamuweka rais mzee 😅😅.

Ila nadhani system iliamua ifanyike hivyo. Shida kwetu uchawa umezidi kwa manufaa binafsi.
Bangladesh.
 
Kikwete na miufisadi yote hiyo aliyoifanyia nchi yetu atapata wapi guts za kutoka hadharani na kukemea chochote?
Yeye akae kimya tu hivyo hivyo asije akajiaibisha bure.
 
Kikwete na miufisadi yote hiyo aliyoifanyia nchi yetu atapata wapi guts za kutoka hadharani na kukemea chochote?
Yeye akae kimya tu hivyo hivyo asije akajiaibisha bure.
Kuna mengine baba anapga Escrow, Richmond, Gesi, mtoto madawa ya kulevya kusambaza nchini, mke pesa zote ziende kwa familia yake. Wako vizuri.
 
JK ni mnufaika mkubwa wa huu utawala awamu ya 6 kamwe usitegemee akiusemea -ve!!.
Siumeona hata mwanae kapewa unaibu waziri, kwani ana nn cha maajabu?!.

Nq mkewe kaleta ustaarabu wa wake wa wakubwa walipwe bure tu unafikiri imekuja tu km mvua? Bila pochi hutamuona mahali
 
Pamoja na yote Kikwete hayupo kwa ajili ya taifa bali yupo kwa ajili yake na familia yake
AIIISEEE!
Hii hapa imenigonga hadi utosini!
Hivi viongozi wa namna hii huwa tunawapata vipi?
 
Kwa hio wewe ni mzalendo kupitia keybord? ay ndio wale Ma Keybord woriour?

Uzalendo sio matangazo bali ni Spirti anayo kuwa nayo mtu,na kama haipo haipo, naona Bongo Uzalendo unasomewa, mnachekesha sana
Kwa hiyo Kikwete anayo 'spirit' ya uzalendo. Hebu tueleze hiyo 'spirit' ipoje hasa; na kwa Kikwete inavyo jibainisha spirit hiyo ya uzalendo ndani yak, hadi wewe umtambue kuwa anayo hiyo 'spirit' ya uzalendo!.
 
Wameamua bora liende tu. Sema kama Watanzania tuna wajibu mkubwa wa kuhakikisha hilo kosa halijirudii tena
Sijui "waTanzania tuta hakikisha vipi lisitokee tena" kama mambo yenyewe ndiyo haya tunayo yaona yakiendelea sasa. Si umeona mwenyewe uchafuzi wa serikali za mitaa. Sasa nieleze waTanzania watafanya nini kuzuia; na hasa wakati inapo onekana hata vyama vya upinzani vinaishiwa nguvu ya kutuunganisha pamoja ili tuelekeze nguvu zetu kuwakatalia CCM, ikibidi hata kwa nguvu wakilazimisha wabaki.

Ukweli ni kwamba, kwa sasa hivi hakuna mwenye MTAJI mkubwa sana wa kuwa stua hawa CCM kuliko Kikwete alio nao; hata kama anaogopa kwa kuwa na makandokando yeye mwenyewe.

Kwanza, ange tumia mtaji huo kurekebisha mambo yasi haribike zaidi, ange jizolea sifa nyingi sana kuliko hata alizo weza kuzipata wakati wa uongozi wake.

Kikwete akisema jambo sasa hivi ni lazima Samia na serikali yake na CCM nzima watasikiliza kama watoto wa shule.

hawa hali ime wawia mbaya kiasi kwamba wanahitaji sauti kama ya Kikwete kuwaondoa kwenye hili janga linalo wakabili sasa; hasa huko tunako elekea 2025.
 
Kuna mengine baba anapga Escrow, Richmond, Gesi, mtoto madawa ya kulevya kusambaza nchini, mke pesa zote ziende kwa familia yake. Wako vizuri.
Yote hayo, halafu watu wanataka eti ajifunze uzalendo. Uzalendo na ufisadi wapi na wapi?
 
Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe.

Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya usiiache ifutwe na ukimya wako.

Heshima au Uzalendo haupimwi kwa kukaa kimya unapimwa kwa vitendo.

Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu, alikuwa Makamu wa Rais, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Wakili wa Mahakama Kuu.

Warioba ananufaika na marupurupu kutoka serikalini kama Kikwete, lkn kwa uzalendo wake yupo tayari ku-risk yote kwa kuikosoa serikali hiyo hiyo inayomlipa pindi inapokosea.

Warioba
View attachment 3170442
Kikwete

View attachment 3170441
Du unataka kumtwisha njiwa mzigo kichwa atakipata wapi? Kikwete ni Kikwete hana wala hawezi kuwa mzalendo. Mbayuwayu na uzalendo wapi na wapi?
 
Haonekani kwenye mijadala ya kitaifa yuko bize na matamasha

GfIjVseWQAEB6vT.jpg
 
Back
Top Bottom