- Thread starter
- #21
Wakati wa vita vya Kagera Kaptani Komba kazi yake ilikuwa ni kuwaburudisha wanajeshi, ndio ulikuwa uzalendo wake.Kwa hio wewe ni mzalendo kupitia keybord? ay ndio wale Ma Keybord woriour?
Uzalendo sio matangazo bali ni Spirti anayo kuwa nayo mtu,na kama haipo haipo, naona Bongo Uzalendo unasomewa, mnachekesha sana
Kutoa habari za matukio ya utekaji kwenye mitandao mfano anavyofanya Ex. Mayor ni sehemu ya uzalendo.
So huwezi kudharau key warriors eti hawana uzalendo hata kukupa habari ni sehemu ya uzalendo wao.