Pamoja na yote Kikwete hayupo kwa ajili ya taifa bali yupo kwa ajili yake na familia yakeHawezi, hawezi, hawezi.
Katika watu ambao wanafaidika na kuneemeka na hii corrupted system basi huyu mzee ni nambari UNO.
Nje ya mada! Hakuna namna inaweza ikafanyika ili Warioba awe Rais hata kwa miaka miwili?Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe.
Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya usiiache ifutwe na ukimya wako.
Heshima au Uzalendo haupimwi kwa kukaa kimya unapimwa kwa vitendo.
Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu ananufaika na marupurupu kutoka serikalini kama wewe, lkn kwa uzalendo wake kwa nchi yake yupo tayari ku-risk yote kwa kuikosoa serikali hiyo hiyo inayomlipa pindi inapokosea.
Ila kapoa sana tatizo watu wa pwani huogopa kusutwa.Kikwete Huwa anaongea sana, ila lugha yake no ngumu kumwelewa
Akiwa Rais ashawahi kusema
" Wakiwaambia hamjafanya chochote, waonesheni barabara"
" Wakati wa kijivunia polisi kupata ushindi umepita"
Number One isn't presidential material is there by accident, na wahuni wanatumia udhaifu huo kufanya wanavyotaka. Watu wa kujaza hilo gap ni wazee kama kina Kikwete lkn na wao wapo kimya.Huyo ndio Idol wa huu utawala isipokuwa tu uhuru wa wahuni kwa sasa umezidi kiwango. Vitendo vya kihuni vinafanyika dhahiri kabisa angalau zama zake alijaribu kufanyia gizani pasipo na macho ya watu. Sahizi uhuni ni kama umehalalishwa kabisa na ndio maana huwezi sikia namba moja akiongea lolote.
Huyo anachoweza ni kutoka hadharani kuchekacheka, kupiga vijembe na kukejeli watuKwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe.
Warioba alikuwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Wakili wa Mahakama Kuu, ana pensheni ndefu tu lkn yupo na wananchi.Muacheni mzee wa watu ale pensheni kwa Raha zake
Kweli kabisa! Mwalimu Julius Nyerere alikuwa na moral authority, na hakuogopa hata kumkosoa Rais aliye madarakani. Binafsi naona kukosoa jambo ni sawa na kusifia. Ni vizuri raia wote, including wastaafu wajione/wajisikie huru kusifia yale wanayoona yanakwenda vizuri, na au kukosoa yale wanayoona yangeweza kuboreshwa ili serikali iendelee kufanya vizuri zaidi. Kwa sasa hivi kuna ripoti zinazosema Tanzania is a fast developing economy. Natamani pia kusoma ripoti zinazosema Tanzania is a fast emerging au developing democracy.Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe.
Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya usiiache ifutwe na ukimya wako.
Heshima au Uzalendo haupimwi kwa kukaa kimya unapimwa kwa vitendo.
Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu ananufaika na marupurupu kutoka serikalini kama wewe, lkn kwa uzalendo wake kwa nchi yake yupo tayari ku-risk yote kwa kuikosoa serikali hiyo hiyo inayomlipa pindi inapokosea.
Warioba
View attachment 3170442
Kikwete
View attachment 3170441
Na nyie uzalendo wenu mnauonyeshea kwenye keybord?Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe.
Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya usiiache ifutwe na ukimya wako.
Heshima au Uzalendo haupimwi kwa kukaa kimya unapimwa kwa vitendo.
Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu, alikuwa Makamu wa Rais, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Wakili wa Mahakama Kuu.
Warioba ananufaika na marupurupu kutoka serikalini kama Kikwete, lkn kwa uzalendo wake yupo tayari ku-risk yote kwa kuikosoa serikali hiyo hiyo inayomlipa pindi inapokosea.
Warioba
View attachment 3170442
Kikwete
View attachment 3170441
Kila mtu ana sehemu yake ya kuonyesha uzalendo wake, kuna madaktari, walimu, waandishi wa habari, wanajeshi, nk, Kikwete ni mwanasiasa anatakiwa kuonyesha uzalendo wake kupitia nafasi aliyonayo.Na nyie uzalendo wenu mnauonyeshea kwenye keybord?
Kwa hio wewe ni mzalendo kupitia keybord? ay ndio wale Ma Keybord woriour?Kila mtu ana sehemu yake ya kuonyesha uzalendo wake, kuna madaktari, walimu, waandishi wa habari, wanajeshi, nk, Kikwete ni mwanasiasa anatakiwa kuonyesha uzalendo wake kupitia nafasi aliyonayo.
Kuna nchi sii ikumbuki jina wananchi waliitoa serikali madarakani na kundi kubwa likiwa ni vijana kisha wakamuweka rais mzee 😅😅.Nje ya mada! Hakuna namna inaweza ikafanyika ili Warioba awe Rais hata kwa miaka miwili?
Ana HEKIMA sana huyo mzee. Angetutengenezea nchi vizuri sana.