Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Bangladesh.Kuna nchi sii ikumbuki jina wananchi waliitoa serikali madarakani na kundi kubwa likiwa ni vijana kisha wakamuweka rais mzee π π .
Ila nadhani system iliamua ifanyike hivyo. Shida kwetu uchawa umezidi kwa manufaa binafsi.
Nahisi ata bajeti asilimia 50%,80% ikienda kulipa wastaafu, familia zao, watoto wao Familia ya Salma familia nzima ya Kikwete itakuwa na amani kabisa na wappuzi wengine wata-support huu ujambazi.
Kuna mengine baba anapga Escrow, Richmond, Gesi, mtoto madawa ya kulevya kusambaza nchini, mke pesa zote ziende kwa familia yake. Wako vizuri.Kikwete na miufisadi yote hiyo aliyoifanyia nchi yetu atapata wapi guts za kutoka hadharani na kukemea chochote?
Yeye akae kimya tu hivyo hivyo asije akajiaibisha bure.
JK ni mnufaika mkubwa wa huu utawala awamu ya 6 kamwe usitegemee akiusemea -ve!!.
Siumeona hata mwanae kapewa unaibu waziri, kwani ana nn cha maajabu?!.
Je,amemrithisha usanii mtoto wake yoyote?Watu wa pwani ndugu yangu ishi nao kwa akili sana. JK ana nature ya usanii usanii.
π€£π€£Na yeye akajibiwa aache kuwashwawashwa.
AIIISEEE!Pamoja na yote Kikwete hayupo kwa ajili ya taifa bali yupo kwa ajili yake na familia yake
Kwa hiyo Kikwete anayo 'spirit' ya uzalendo. Hebu tueleze hiyo 'spirit' ipoje hasa; na kwa Kikwete inavyo jibainisha spirit hiyo ya uzalendo ndani yak, hadi wewe umtambue kuwa anayo hiyo 'spirit' ya uzalendo!.Kwa hio wewe ni mzalendo kupitia keybord? ay ndio wale Ma Keybord woriour?
Uzalendo sio matangazo bali ni Spirti anayo kuwa nayo mtu,na kama haipo haipo, naona Bongo Uzalendo unasomewa, mnachekesha sana
Sijui "waTanzania tuta hakikisha vipi lisitokee tena" kama mambo yenyewe ndiyo haya tunayo yaona yakiendelea sasa. Si umeona mwenyewe uchafuzi wa serikali za mitaa. Sasa nieleze waTanzania watafanya nini kuzuia; na hasa wakati inapo onekana hata vyama vya upinzani vinaishiwa nguvu ya kutuunganisha pamoja ili tuelekeze nguvu zetu kuwakatalia CCM, ikibidi hata kwa nguvu wakilazimisha wabaki.Wameamua bora liende tu. Sema kama Watanzania tuna wajibu mkubwa wa kuhakikisha hilo kosa halijirudii tena
Yote hayo, halafu watu wanataka eti ajifunze uzalendo. Uzalendo na ufisadi wapi na wapi?Kuna mengine baba anapga Escrow, Richmond, Gesi, mtoto madawa ya kulevya kusambaza nchini, mke pesa zote ziende kwa familia yake. Wako vizuri.
Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe.
Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya usiiache ifutwe na ukimya wako.
Heshima au Uzalendo haupimwi kwa kukaa kimya unapimwa kwa vitendo.
Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu, alikuwa Makamu wa Rais, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Wakili wa Mahakama Kuu.
Warioba ananufaika na marupurupu kutoka serikalini kama Kikwete, lkn kwa uzalendo wake yupo tayari ku-risk yote kwa kuikosoa serikali hiyo hiyo inayomlipa pindi inapokosea.
Warioba
View attachment 3170442
Kikwete
Du unataka kumtwisha njiwa mzigo kichwa atakipata wapi? Kikwete ni Kikwete hana wala hawezi kuwa mzalendo. Mbayuwayu na uzalendo wapi na wapi?Kwa hadhi ya Rais Mstaafu tulitegemea utoke hadharani kukemea uvunjifu wa waziwazi wa katiba unaofanywa na viongozi uliotuachia wewe mwenyewe.
Legacy uliyoianza kwa kukubali kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya usiiache ifutwe na ukimya wako.
Heshima au Uzalendo haupimwi kwa kukaa kimya unapimwa kwa vitendo.
Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu, alikuwa Makamu wa Rais, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Wakili wa Mahakama Kuu.
Warioba ananufaika na marupurupu kutoka serikalini kama Kikwete, lkn kwa uzalendo wake yupo tayari ku-risk yote kwa kuikosoa serikali hiyo hiyo inayomlipa pindi inapokosea.
Warioba
View attachment 3170442
Kikwete
View attachment 3170441
Alifankikiwa karibu kumaliza Wanyama wote waasili mbugani pamoja kuuza maeneo kibao muhimu na mdau wake Kinana, Nyalandu.Yote hayo, halafu watu wanataka eti ajifunze uzalendo. Uzalendo na ufisadi wapi na wapi?