Kikwete akutana na Uhuru Kenyatta, amuomba ushauri

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.

Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.

Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo

Kikwete anataka kwamba Samia apeane Mkono na Tundu Lissu.

Lissu alishaweka msimamo wa chama chake mapema. Anataka mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na katiba mpya. Wla hataki hizo hela za handshaking.
 
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.

Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.

Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo
Faki zati mazafaka! Angeenda mzee mwenye busara na political capital.
 
Akikupa source muambie alete na video
1000073093.jpg
 
Kibaka mmoja anahitajika kulipia damu zilozomwagika
 
Kama ni kweli yeye ndiye anastahiri kulaumiwa,na hata amani ikirudi Tanzania haitakuwa kama ilivyokuwa zamani
 
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.

Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.

Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo
Maajabu ya Musa haya... Raisi Mstaafu wa Kenya Uhuru, yeye aliongea na Gen Z wao na kuwatuliza, Raisi Mstaafu wetu yeye anakimbilia huko kuomba ushauri... ni kwa nini yeye mwenyewe asiwatulize kama alivyo fanya huyo Uhuru huko Kenya? Kama hii habari ni ya kweli, waandamanaji watapatwa na hasira zaidi... Kikwete rudi nyumbani, sawazisha makosa yako, omba msamaha na utaeleweka... uwe baba wa taifa anayejali maslahi ya wananchi zaidi kuliko kungangania kundi la marafiki wako wana mtandao...
 
..JK angeenda magereza kuonana na kumsihi TAL awasaidie.

..wangemsikiliza TAL kuhusu rai yake ya kuahirisha uchaguzi, na kufanya mabadiliko, tusingeingia katika vurugu.
 
Maajabu ya Musa haya... Raisi Mstaafu wa Kenya Uhuru, yeye aliongea na Gen Z wao na kuwatuliza, Raisi Mstaafu wetu yeye anakimbilia huko kuomba ushauri... ni kwa nini yeye mwenyewe asiwatulize kama alivyo fanya huyo Uhuru huko Kenya? Kama hii habari ni ya kweli, waandamanaji watapatwa na hasira zaidi... Kikwete rudi nyumbani, sawazisha makosa yako, omba msamaha na utaeleweka... uwe baba wa taifa anayejali maslahi ya wananchi zaidi kuliko kungangania kundi la marafiki wako wana mtandao...
Kikwete ni mpumbavu.

Matatizo yaliyopelekea hali hii yalivyokuwa yanatokea, alikuwa anasema "Huu ni upepo tu, utapita".

Sasa haya ndiyo matokeo yake.

Nasema apigwe tu, maana hamna jinsi.
 
Back
Top Bottom