Kikwete akutana na Uhuru Kenyatta, amuomba ushauri

Kikwete ni mpumbavu.

Matatizo yaliyopelekea hali hii yalivyokuwa yanatokea, alikuwa anasema "Huu ni upepo tu, utapita".

Sasa haya ndiyo matokeo yake.

Nasema apigwe tu, maana hamna jinsi.
kwa kweli umenifanya nicheke 🙂 kwa hiyo kauli yako .. apigwe tu ....
 
..JK angeenda magereza kuonana na kumsihi TAL awasaidie.

..wangemsikiliza TAL kuhusu rai yake ya kuahirisha uchaguzi, na kufanya mabadiliko, tusingeingia katika vurugu.
Hata sasa anaweza kwenda huko Ukonga na kumwomba wayamalize na nchi itatulia within 24 hours , ya nini anakimbilia huko Kenya wakati suluhisho limo ndani humu humu ... taabu tupu.. maji yamezidi unga na ugali hausongeki....waende huko ukonga wakayamalize... au wamtume Jaji Warioba aje kwenye national TV aongee na kutoa mstakabari wa nchi, waandamanaji labda watamsikiliza...
 
Ndicho anatka.
 
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.

Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.

Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo

Tatizo la Kikwete amekuwa chawa na kuunga mkono huu ujinga leo nani atamwamini
 
Hata sasa anaweza kwenda huko Ukonga na kumwomba wayamalize na nchi itatulia within 24 hours , ya nini anakimbilia huko Kenya wakati suluhisho limo ndani humu humu ... taabu tupu.. maji yamezidi unga na ugali hausongeki....waende huko ukonga wakayamalize... au wamtume Jaji Warioba aje kwenye national TV aongee na kutoa mstakabari wa nchi, waandamanaji labda watamsikiliza...
Wanaendelea kukaza fuvu na kuukwepa ukweli
 
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.

Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.

Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo

Kikwete anataka kwamba Samia apeane Mkono na Tundu Lissu.

Lissu alishaweka msimamo wa chama chake mapema. Anataka mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na katiba mpya. Wla hataki hizo hela za handshaking.
propaganda za Kenya hizi, kama yupo kenya ni kwasababu ya mambo yake mengine, juzi alipokuwa DRC alienda omba ushauri wa Tshekedi?

Wanahamu ya kutafanya wanafunzi wao! wakati kimsingi tukiweza pata muafaka wa kisiasa nchini tutakuwa tumewaacha umbali mrefu ambao wanaweza wasikaribie kwa miaka kadhaa
 
Kikwete ni mpumbavu.

Matatizo yaliyopelekea hali hii yalivyokuwa yanatokea, alikuwa anasema "Huu ni upepo tu, utapita".

Sasa haya ndiyo matokeo yake.

Nasema apigwe tu, maana hamna jinsi.
Yule mzee na genge lake la wanamtandao ndio wametufikisha hapa
 
propaganda za Kenya hizi, kama yupo kenya ni kwasababu ya mambo yake mengine, juzi alipokuwa DRC alienda omba ushauri wa Tshekedi?

Wanahamu ya kutafanya wanafunzi wao! wakati kimsingi tukiweza pata muafaka wa kisiasa nchini tutakuwa tumewaacha umbali mrefu ambao wanaweza wasikaribie kwa miaka kadhaa
Muafaka pekee ni Jeshi kuchukua nchi then kufanya mabadiliko ya katiba. Uchaguzi huru na WA haki ufanyike ..Tofauti na hapo naona Giza zaidi mbele, sababu damu za watu wasio na hatia zinalia ardhini.na Wakati wa Mungu ukifika kushughulika na kibri ya binadamu , hata bahari haiwezi zuia
 
Waandamaji wa Dar wamefika wapi? Naomba kujua niende
 
Naona hapa kuna watu wanajidanganya kuwa hii issue iliyopo imesababishwa na mgogoro wa lissu na Samia,endeleeni kujidanganya
 
Ule mwezi waliompitisha Samia walianzisha hili.

Kikwete hadi kesho anaamini Magufuli alichaguliwa kwa Bahati mbaya, kumbe ni mpango mkakati.
 
Huyu Mzee mjinga sana. Kwanini asimwambie Samia directly Watanzania hawakutaki halafuYeye Kikwete, Samia Rostam, Abdul, Mombo wakae pembeni.

Wao ndio chanzo cha matatizo yote haya.
 
Naona ametoa witoo
1000186637.jpg
 
Back
Top Bottom