kwa kweli umenifanya nicheke 🙂 kwa hiyo kauli yako .. apigwe tu ....Kikwete ni mpumbavu.
Matatizo yaliyopelekea hali hii yalivyokuwa yanatokea, alikuwa anasema "Huu ni upepo tu, utapita".
Sasa haya ndiyo matokeo yake.
Nasema apigwe tu, maana hamna jinsi.
..JK angeenda magereza kuonana na kumsihi TAL awasaidie.
..wangemsikiliza TAL kuhusu rai yake ya kuahirisha uchaguzi, na kufanya mabadiliko, tusingeingia katika vurugu.
Hata sasa anaweza kwenda huko Ukonga na kumwomba wayamalize na nchi itatulia within 24 hours , ya nini anakimbilia huko Kenya wakati suluhisho limo ndani humu humu ... taabu tupu.. maji yamezidi unga na ugali hausongeki....waende huko ukonga wakayamalize... au wamtume Jaji Warioba aje kwenye national TV aongee na kutoa mstakabari wa nchi, waandamanaji labda watamsikiliza.....JK angeenda magereza kuonana na kumsihi TAL awasaidie.
..wangemsikiliza TAL kuhusu rai yake ya kuahirisha uchaguzi, na kufanya mabadiliko, tusingeingia katika vurugu.
Kweli kabisa. Kwa sasa ni Tundu Lissu pekee ndiye anayeweza kuwatuliza watu .... Tatizo CCM hawawezi kumpa ushindi wa mezani.
Ndicho anatka...JK angeenda magereza kuonana na kumsihi TAL awasaidie.
..wangemsikiliza TAL kuhusu rai yake ya kuahirisha uchaguzi, na kufanya mabadiliko, tusingeingia katika vurugu.
Atakuambia Tomato sauce 😂Source?
Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.
Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.
Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo
Wanaendelea kukaza fuvu na kuukwepa ukweliHata sasa anaweza kwenda huko Ukonga na kumwomba wayamalize na nchi itatulia within 24 hours , ya nini anakimbilia huko Kenya wakati suluhisho limo ndani humu humu ... taabu tupu.. maji yamezidi unga na ugali hausongeki....waende huko ukonga wakayamalize... au wamtume Jaji Warioba aje kwenye national TV aongee na kutoa mstakabari wa nchi, waandamanaji labda watamsikiliza...
propaganda za Kenya hizi, kama yupo kenya ni kwasababu ya mambo yake mengine, juzi alipokuwa DRC alienda omba ushauri wa Tshekedi?Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania.
Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha.
Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo
Kikwete anataka kwamba Samia apeane Mkono na Tundu Lissu.
Lissu alishaweka msimamo wa chama chake mapema. Anataka mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na katiba mpya. Wla hataki hizo hela za handshaking.
Yule mzee na genge lake la wanamtandao ndio wametufikisha hapaKikwete ni mpumbavu.
Matatizo yaliyopelekea hali hii yalivyokuwa yanatokea, alikuwa anasema "Huu ni upepo tu, utapita".
Sasa haya ndiyo matokeo yake.
Nasema apigwe tu, maana hamna jinsi.
Muafaka pekee ni Jeshi kuchukua nchi then kufanya mabadiliko ya katiba. Uchaguzi huru na WA haki ufanyike ..Tofauti na hapo naona Giza zaidi mbele, sababu damu za watu wasio na hatia zinalia ardhini.na Wakati wa Mungu ukifika kushughulika na kibri ya binadamu , hata bahari haiwezi zuiapropaganda za Kenya hizi, kama yupo kenya ni kwasababu ya mambo yake mengine, juzi alipokuwa DRC alienda omba ushauri wa Tshekedi?
Wanahamu ya kutafanya wanafunzi wao! wakati kimsingi tukiweza pata muafaka wa kisiasa nchini tutakuwa tumewaacha umbali mrefu ambao wanaweza wasikaribie kwa miaka kadhaa
Siku hizi JF watu hawaulizi tena reliable source ya habari husika,hasa hizi mada za kisiasa,unaweza kuanzisha mada yeyote tu ile!!Source?