Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere, Sehemu ya tano 5

GARETHBALE

Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
76
Reaction score
339
MAMBO 10 YA KIPEKEE USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD KAMILIUS MEMBE.

Tunaendelea tulipoishia..

Hii ni "episode" ya tano katika mwendelezo wa "series" yetu juu ya historia na wasifu wa mwanasiasa na mwanadiplomasia wa muda mrefu Bernard Kamilius Membe.

Kama nilivyoeleza katika "episode" iliyopita.Leo kwa kifupi sana nitajikita katika kuzungumzia mambo 10 ya kipekee usiyoyajua kuhusu Bernard Kamilius Membe.

Ungana nami kama ifuatavyo:

1.Bernard Kamilius Membe ni mtoto wa pili kuzaliwa kwa baba na mama yake.Kabla ya mdogo wake ambaye ndiye anajulikana kumfuatia kuzaliwa aitwaye Ester(marehemu)kulikuwa na wadogo zake watano waliomfuatia kuzaliwa lakini kwa bahati mbaya wote walifariki kabla ya kuzaliwa.Kwahiyo kama wadogo zake hawa wangeishi leo hii familia yao ingekuwa na watoto 12 na sio 7 idadi ambayo nayo imepungua na kubaki watoto 5 kwasababu tayari kaka yake Simon na mdogo wake Ester wameshatangulia mbele za haki.

2.Bernard Kamilius Membe alipofikisha miaka mitano alipelekwa na wazazi wake wilaya Ruangwa kwa ajili ya kumsalimia babu yake upande wa baba yao.Alipofika kule wakati katoka nje kucheza na watoto wenzake mmoja wa mashuhuda(mtoto waliyekuwa wanacheza naye)alimwona bibi mmoja kutoka katika moja ya nyumba za jirani akimwita Bernard Kamilius Membe na kumpatia mhindi ili aule.Baada ya kuula ule mhindi alianza kulalamika kuumwa tumbo na hakuchukua muda alizimia.Baada ya kuzimia familia yake ilimpeleka hospitali kwa ajili ya matibabu ikagundulika ule mhindi ulikuwa na viashiria vya sumu.Alipatiwa matibabu lakini hakuamka kwa zaidi ya siku 5.

3.Bibi mzaa baba wa Bernard Kamilius Membe alifariki kwa kuuawa kisha kuliwa na simba.Tukio hili lilimkuta akiwa shambani analima tena akiwa na wanaye ambapo baba yake Bernard Kamilius Membe alikuwa na miaka mitatu wakati kaka yake yaani baba yake mkubwa Bernard Kamilius Membe alikuwa na miaka saba.Kaka mtu alipoona mama yao kavamiwa na simba alimbeba mdogo wake na kukimbia kijijini kuwajulisha wanakijiji kuwa mama yao kavamiwa na simba.

4.Baada ya kumaliza kidato cha nne katika shule ya seminari Namupa iliyopo mkoani Lindi Bernard Kamilius Membe pamoja na mwenzake Paul Maokola ambaye ndiye alikuwa msimamizi wa miradi ya maendeleo jimbo la Mtama wakati wa ubunge wake kwa vipindi viwili(2005-2010 na 2010-2015)walichaguliwa kwenda kusomea upadri kwenye seminari ya Peramiho wakati wakisubiri majibu yao.

5.Baba yake Bernard Kamilius Membe alifariki kwa ajali ya bunduki wakati anawinda.Alijikwaa kwenye kichuguu na kutereza wakati ameikoki bunduki yake nayo ikamfyatukia.Alivuja damu kwa zaidi ya masaa matatu na hospitali ilikuwa mbali sana na kijiji chao.Alipofikishwa hospitali hakukaa sana alifariki.

6.Bernard Kamilius Membe alikuwa na ndoto za kufanya kazi benki.Na hii ilimfanya achague masomo ya uchumi yaani HGE kidato cha tano na sita.Kumbe Mungu alimpangia kazi tofauti na aliyoitegemea.Yeye akaenda kuwa mtumishi wa "ofisi nyeti" alafu rafiko yake wa karibu(Paul Maokola)tangu wanasoma O Level pale Namupa Seminari ndio akaajiriwa benki hadi alipostaafu na kisha Bernard Kamilius Membe akamwajiri tena kama msimamizi wa miradi ya maendeleo jimbo la Mtama.

7.Bernard Kamilius Membe ni "classmate" wa Dk.Bernard Achiula(Mkurugenzi wa chuo cha diplomasia-Kurasini).Walisoma wote Namupa Seminari.Ni Bernard Kamilius Membe ndiye aliyemfuata nchini Ujerumani na kumwomba aje kushiriki ujenzi wa taifa lake katika masuala ya diplomasia.Dk.Bernard Achiula ni miongoni mwa wabobezi wa masuala ya diplomasia.

8.Bernard Kamilius Membe amewahi kufundisha kwa muda mfupi shule ya sekondari Lindi baada ya kumaliza kidato cha sita.Alikuwa ni mwalimu wa kujitolea.

9.Bernard Kamilius Membe ni mwanasiasa wa kwanza mwenye asili ya kabila la Wamwera kuchaguliwa na wananchi wa jimbo la Mtama kuwa mbunge.

10.Akiwa kwenye kozi ya "masuala nyeti" nchini Uingereza katika chuo cha Scotland Yard alikutana na rais wa sasa wa Zimbabwe Komredi Emmerson Dambudzo Mnangagwa(The Crocodile).Wote walichaguliwa kusoma kozi moja.Na huu ndio ukawa mwanzo wa ukaribu wao ambao umedumu kwa miongo kadhaa sasa.Kwa wachache wasiofahamu ni kwamba Komredi Emmerson Dambudzo Mnangagwa(The Crocodile)amewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa "ofisi nyeti" ya Zimbabwe.

Je unajua Jen.Imrani Kombe na Bernard Kamilius Membe walielekezwa na Mwl.Julius Kambarage Nyerere kumwajiri Jack Steven Gotham kwenye "ofisi nyeti"?.

Tujumuike tena pamoja kesho kwenye muda kama huu.......
 
Lengo hasa la hizi episode ni lipi?

Kama kujinasibisha na Nyerere ndio sifa ya Kuwa Rais basi tumpe nchi Butiku.!
 
Ahsante kwa Hadithi Nzuri Mh. Benard Kamilius Membe.
 
Hakuna lolote la maana ulichoandika, utumbo mtupu

mkuu umenitisha kuniambia MEMBE walikuwa scotland yard pamoja wanasoma na "The crocodile" Emerson Mnangagwa!

Naanza kumjua sasa Vizuri Mzee Membe! UNGANISHA DOTS NA KILICHOTOKEA Zimbabwe ,Mugabe versus Jeshi= kuingia madarakani kupitia mapinduzi ya jeshi(grolius revolution) .

Kumbe MEMBE sio jitu la mchezo!!😀

Ndio maana ya ule msemo wa "NIGUSE NINUKE" ahaa😁😁

2020 kuna Kazi!!
 
Mkuu kuwa wazo juu ya "Ofisi Nyeti".
Je ni masjala UTMISHI?
Je ni armoury ya jeshi?
Je ni ICU Muhimbili?
Je ni kitengo maalum cha miposi ya Taos?

Au kuwa wazi tu, ni TISS au Idara!
 
Episode nzuri Sana ila lengo lake Ni Nini?
TUMIA AKILI (Intellect) zawadi ambayo Mungu katupa wanadamu.

Kama huelewi jua kuna watu wa tabaka flani la juu MIMI ni mmojawapo ,WEWE si mmoja wapo! Ndio ambao wameandiliwa andiko hili walisome , Pole mkuu 😂😂😁😁😆😆😅😅
 
MAMBO 10 YA KIPEKEE USIYOYAJUA KUHUSU BERNARD KAMILIUS MEMBE.

Tunaendelea tulipoishia..

Je unajua Jen.Imrani Kombe na Bernard Kamilius Membe walielekezwa na Mwl.Julius Kambarage Nyerere kumwajiri Jack Steven Gotham kwenye "ofisi nyeti"?.

Tujumuike tena pamoja kesho kwenye muda kama huu.......
Kumbe hata Jack Gotham ni wale wale?. This is news to me maana naanza kuunganisha the dots

Ngoja tusubiri kesho.
P
 
..kuna tatizo gani wakisema alifanya kazi ktk Idara ya Usalama wa Taifa?

..mbona wenzetu wanataja waziwazi na kuonea fahari vyombo vyao kama CIA, MOSSAD, etc etc?

..kwa maoni yangu, kuandika kuwa aliajiriwa na " ofisi nyeti " hakujengi picha nzuri kwa makala husika.
 
Naona utamu unaanza kupungua, ni heri ungeishia episode ya 4. Mwishowe utaanza kueleza habari za michepuko!
 
W
Hakuna lolote la maana ulichoandika, utumbo mtupu
wewe D.A.D.A una gubu sana😂😂 umeshindwa kuzuia maumivu ya M.S.U.MA.R.I??

😂😂 Vumilia usipige kelele!!!

Acha msumari ukuiingie kama unavyovumilia ukiwa kwenye 6×6 juu ya D.O.D.O.M.A😁😁😅😅😂😂
 
Episode nzuri Sana ila lengo lake Ni Nini?

..lengo ni kuweka KUMBUKUMBU YA KIHISTORIA.

..kwenye nchi za wenzetu watendaji wote waliotumikia mataifa yao wameandika vitabu vinavyohusu maisha yao na utumishi wao.

..Nawahimiza na wengine waige mfano huu mzuri.
 
Ni kweli kabisa. Kutokujua historia ya kiongozi ni jambo baya sana.
Hivi watu wangejua historia ya aliyekamata usukani sasa hivi sidhani kama hata fomu za kugombea wangempa.
Ipo siku tutaanza kuweka historia hiyo hapa JF na watu watashika midomo, ngoja tukusanye data.
Tujenge tabia ya kuwafahamu kabla ya kuwapa kiti wakalie
 
Bila Kumtaja Nyerere huwezi kuweka story yako?
yes!! ni sawa mtu kuzaliwa then ukalelewa na mama wakambo! mpaka unapata mafanikio kimaisha na baadae ukiulizwa unasema mama wakambo hausiki katika historia yako!!!😂😂😂😂 kumenganisha nyerere na wanasiasa ambao walikuwa vijana katika utumishi ni Matusi na kejeli kwa Baba wa Taifa.

Kwahiyo Membe kunasabishwa na Nyerere ni sawa kabisa .Ukikaa karibu na waridi utanukia kama waridi.

Hata jiwe kama angekuwa karibu naye angejinasabisha tu.

Ila bahati mbay hakuwahi kupata hata fursa ya KUPIGA NAYE PICHA😂😂😁😁😃😃😆😆
 
Back
Top Bottom