Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere, Sehemu ya tano 5

Asante
 
Nilikuwa najiuliza hivi Achiula alirudi TZ kwa sababu amechoka tuu na maisha ya Germany au amefuata kitu TZ, sasa nimefahamu vyema, na hata mwenyewe Achiula alishawahi kunihadithia stori yake na Membe ila yeye alinambia alikua yuko nyuma ya Membe kwa darasa moja, kwaiyo Membe ni mkubwa wake.
 
Lengo hasa la hizi episode ni lipi?

Kama kujinasibisha na Nyerere ndio sifa ya Kuwa Rais basi tumpe nchi Butiku.!
jamaa alishawahi kwenda kwenye kaburi la Nyerere "eti" kuomba kibali cha kugombea urais 2015. Haikuwa.
 
Aliwahi kuwaambia wazee wa kwao waliokuwa wanaomba barabara iwekwe lami kwenye mkutano wa hadhara , kwamba wakitaka kulazimisha lami basi wakusanye kinyesi chao wasilibe juu ya barabara ili iwe lami , hii ndio lugha ya kiongozi wa wanyonge !
 
Nakuambia nukuu zake zikianza kuwekwa wazi zitakuwa maarufu duniani kuzidi za Mugabe.
 
Jinga ksbisa
 
R.ip BM,

2 Tim 4:7​

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…