Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl. Nyerere, Sehemu ya tatu (3)

Jiwe alipigwa na Amina Salum Ali kwenye kura za mkutano mkuu huko DODOMA, JK akawezesha jiwe atangazwe yeye kushinda.

Watu wa Lowasa walimpa Amina Salum Ali baada ya kutangaza wazi kuwa atafanya kazi na Lowasa
 
Halafu Leo Jiwe anamwambia mkwere anawashwa? Jamaa lazima anakunywa Banana au Yokozuma kwa siri. Hata kama ana makosa yake alipaswa amheshimu tuu.
 
Hili wengi hawalijui mwaka tisini na tano Mkapa alishinda kihalali kabisa baada matokeo ya kwanza aliyeongoza kushindwa kupata nusu ya kura zote,ikabidi wawili wa kwanza warudie ndipo Mzee Msuya akamuunga mkono Mkapa the rest is history
 
Mkuu, hoja hujibiwa kwa hoja.
Kama una kanununi za uchaguzi wa CCM, weka mezani hapa ili ku-validate unachosema.

Huu Mkutano Mkuu 1995 ulikuwa wa wazi kabisa. Tunapokumbushana, inatupa kujifunza pale tuliposahau na kuwajuza kinaga ubaga wale ambao 1995 hawakuwa matured kufuatilia mrithi wa mzee "Ruksa"
 
mzee malecela nae alikua dhehebu gani!?..maana alimzidi mkapa kwa cv hiyo 1995
Sioni busara kuleta masuala ya kidini kwenye Utanzania. Maana dini kubwa mbili zilikuja na Waarabu walioleta utumwa na Wazungu walioleta ukoloni.

Tanzania huenda isingekuwa na hizi dini kama sio Waarabu na Wazungu.

Tukibaki kwenye hoja ya CV. Kuna wakati CV inatizamwa kwa jicho la Elimu. Na kuna wakati inatizamwa kwa jicho la uzoefu na muda wa kuwa katika siasa au kazi.
Tukichukua la pili kama kigezo cha CV, bila shaka John Malecele (Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais 1990-94) alikuwa na sifa kubwa kuliko JK. Bila shaka alipungukiwa na uadilifu ndiyo maana alipoteza Uwaziri Mkuu ana alikatwa 1995 & 2005.
Pia kama ni uzoefu, Joseph Sinde Warioba (Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Raus 1985-90; Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa muda mrefu kabisa kama sikosei 1972-1985)

Wote hao wawili bila shaka walikuwa na sifa in term of CV kuliko Mkapa au JK; ila 5 bora hawakuvuka. Hakuna aliezua agenda ya udini
 
mnajifanyaga mna akili kwenye kuficha udini..malecela alikosaje uadilifu?
 
mnajifanyaga mna akili kwenye kuficha udini..malecela alikosaje uadilifu?
Huyu ndio alikuja kujifanya anabadili jina akajiita Jumanne ili apate support ya kifedha kutoka kwa wale ndg zetu ktk imani sio?
 
Huyu ndio alikuja kujifanya anabadili jina akajiita Jumanne ili apate support ya kifedha kutoka kwa wale ndg zetu ktk imani sio?
huo ni uwongo na propaganda za warumi wa tanzania,wanapenda mno madaraka ili wawe na mrija unaoenda hazina,maana angechukua malecela maana yake wangekua nje ya utawala kwa miaka 20..wangeishije!?
 
mnajifanyaga mna akili kwenye kuficha udini..malecela alikosaje uadilifu?
Hamna anaejifanya ana akili mkuu. Tunajadiliana na kukumbushana facts.
Kuhusu kupungukiwa kwa uadilifu wa mzee Malecela fuatilia sekeseka la G55 na kitabu kilichoandikwa na Mwl. JKN kuhusu suala hilo.
Bila shaka wewe ni msomi mzuri, utajipatia ufahamu wa kina nini kitokea na bila shaka kuondolewa kwenye kiti alichomwachia Cleopa Msuya kumalizia 1994-95
 
Mtoa mada kajificha. Ajitokeze kujibu hoja za wajumbe.
Itakuwa kweli anadanganya.
 
zile zilikua figisu tu,kwa kuwa tulikua na mtu wetu tayari,tuliyetaka ashike hatamu
 
huo ni uwongo na propaganda za warumi wa tanzania,wanapenda mno madaraka ili wawe na mrija unaoenda hazina,maana angechukua malecela maana yake wangekua nje ya utawala kwa miaka 20..wangeishije!?
Si kweli:Sababu ni

1.Nyerere hakufurahishwa na kitendo cha Waziri Mkuu wakati huo Mh. Malecela kuruhusu hoja ya Serikali tatu iletwe bungeni

2.Hakupenda kitendo cha Malecela kujihusisha na kuipigia debe Zanzibar kujiunga na OIC.

3.Na hoja ya Malecela kubadilisha dini ilitokana na hoja no. 2
 
Unapokosoa make sure you read between lines! Nakushauri rudia kusoma maana mtoa maada hajayasema unayoyakosoa, ameeleza awali ubunge wa Lowassa ulikuwaje! Wewe unatunga yako!
 
kitu ambacho pengo hamuamini membe japo 'mwenzie' ni hiyo isue ya OIC..yule mgombea urais aliyesema safari hii zamu yetu,akiwa katika nyumba ya ibada kule tabora,alipigia msitari jambo kubwa sana katika suala la mtu kua rais nchi hii
 
Hamjanijibu swali langu kwanini Mzee Sitta alipotea kwenye ulingo wa siasa toka mwaka 1995 mpaka 2005 ?
 
kitu ambacho pengo hamuamini membe japo 'mwenzie' ni hiyo isue ya OIC..yule mgombea urais aliyesema safari hii zamu yetu,akiwa katika nyumba ya ibada kule tabora,alipigia msitari jambo kubwa sana katika suala la mtu kua rais nchi hii
Hahah Kule Tabora yule bwana aliharibu sana kusema vile ingawa alisema ukweli mtupu.

Basi wahalalishe tu washindi wa kile kiti wawe from(waumini wa akina pengo au ndg zetu wa Ijumaa),nje ya hapo marufuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…