Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl. Nyerere, Sehemu ya tatu (3)

Hujatwambia bado Lowassa alipoulizwa na Mwalimu we kijana hizi mali umezipata wapi na ile kauli maaru ''kama mnampenda kampikieni chai'' tatizo unaandika tu kutaka kumpa ujiko Membe .
kauli za vijiwe vya kahawa
 
Kingine ambacho nimesahau kuweka record sawa.
Mtoa mada pia anafanya upotoshaji wa kujua wa bila kujua.

Mwaka 1995 kati ya wagombea watatu wa mwisho waliopigiwa kura na mkutano mkuu CCM walikuwa ni
Lt. Col. Jakaya Mrisho Kikwete (Waziri wa Fedha wakati huo)
Mhe. Benjamin W. Mkapa (Waziri wa Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia)
Mhe. Cleopa Msuya (Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais)

Kama nilivyopangilia; JK aliongoza kwa kura akifuatiwa na Mkapa then Msuya akawa wa 3.

Kwa kuwa katiba ya CCM iko wazi, mjumbe anaepata zaidi ya asilimia 51 ya wajumbe anapita moja kwa moja. Ndiyo maana JK alipopata wingi wa kura zaidi ya 51% mwaka 2005, akasema "safari hii kura zimetosha"

Hakuna aliemfanyia mizengwe JK 1995; unless kama kuna jambo ambalo mtoa mada analo alete ushahidi. Ila katiba na taratibu za CCM zinafahamika. Na kwa wale tuliokuwepo tukifuatilia, tunasikitika kuona mtu ana hadaa mchana peupe.

Muandishi, nakushauri ufanye homework. Ili hata kama unadanganya basi uongo wako usiwe too obvious.

JF ni great thinkers forum. It is very shameful to write white lies
Mwandosya hakuwa kati ya watatu walioingia fainali?!
 
Tatizo hao wa imani yako tukiwapa nchi wanatapanya kama jk na mwinyi kazi kucheza bao tu na kunywa kahawa
huo ni uwongo na propaganda za warumi wa tanzania,wanapenda mno madaraka ili wawe na mrija unaoenda hazina,maana angechukua malecela maana yake wangekua nje ya utawala kwa miaka 20..wangeishije!?
 
Tatizo hao wa imani yako tukiwapa nchi wanatapanya kama jk na mwinyi kazi kucheza bao tu na kunywa kahawa
mwinyi aliikuta hazina haina kitu(hotuba ya mikuki mitatu),kikwete kajenga nchi zaidi ya nyerere,mkapa na mwinyi kwa pamoja..endelea kuvaa macho ya imani katika uchambuzi wa mambo
 
Mwinyi huyu tena eti anaitwa mwinyi (mwinyi mpeku wa gazeti la sani) mkapa akaja kulipa madeni aliicha hazina haina chochote alikuwa amemkabidhi mkewe nchi

Kikwetw ndio wale wale wajaituni kila siku kwenda kubembea ulaya kwani hapa bongo hakuna bembea

Nimemkumbuka Bi.Sitti
 
Makundi ndani ya ccm yanatabia ya kutulia kwa mda tu, nakuhakikishia kundi LA lowasa na membe yataungana, in swala LA mda tu wamejifunza kutokana na makosa waliyoyafanya. Nakuhakikishia hawatarudia tena makosa
 
Mkuu, hoja hujibiwa kwa hoja.
Kama una kanununi za uchaguzi wa CCM, weka mezani hapa ili ku-validate unachosema.

Huu Mkutano Mkuu 1995 ulikuwa wa wazi kabisa. Tunapokumbushana, inatupa kujifunza pale tuliposahau na kuwajuza kinaga ubaga wale ambao 1995 hawakuwa matured kufuatilia mrithi wa mzee "Ruksa"
Mkuu acha ubishi. hoja ya fifty plus one Nyerere aliibuka nayo pale mkutanoni tena bila wajumbe wote kutarajia. Mbaya zaidi hakuna aliyewaza kitu kama hicho na aliibuka nayo ili kumchinja JK.
 
Mwinyi huyu tena eti anaitwa mwinyi (mwinyi mpeku wa gazeti la sani) mkapa akaja kulipa madeni aliicha hazina haina chochote alikuwa amemkabidhi mkewe nchi

Kikwetw ndio wale wale wajaituni kila siku kwenda kubembea ulaya kwani hapa bongo hakuna bembea
mkapa hizo hela za kulipa madeni angezipata wapi kama sio mwinyi kuwawezesha watz wafanye biashara kisha akaanzisha TRA mwaka 1994 ili ianze kazi miaka michache baadae!?..maana enzi zile ukifanya biashara we ni mlanguzi,mhujumu uchumi,huyo jakaya mzururaji ndiye aliyeajiri watu wengi tangu awamu ya kwanza iajir,alipandisha mishahara na stahiki zingine hadi mtumishi wa umma akawa mtu katika watu,akajenga barabara 10000km+,akajenga mloganzila,udom,benjamin mkapa hospital(dom),udahili elimu ya juu ukaongezeka,uchumi ukakua kwa 7%+(na ukaonekana mtaani),akaboresha muhimbili,bomba la gesi nk
 
Mkuu acha ubishi. hoja ya fifty plus one Nyerere aliibuka nayo pale mkutanoni tena bila wajumbe wote kutarajia. Mbaya zaidi hakuna aliyewaza kitu kama hicho na aliibuka nayo ili kumchinja JK.
jk aliwekwa pale kwa ajili ya kupunguza makali ya prof malima,maana ikiwa waislam wangeamua kumuunga mkono malima basi asingezuilika maana wajumbe wanatoka idadi sawa bara na visiwani,hii ni kwa mujibu wa redio mbao za mtaani,zinaeleza zaidi kwamba jakaya alikua akikutana na mwalimu kwa ushauri mchana wakati mteule alikua akikutana nae usiku..gazeti moja lilitanabahisha
 
Hamjanijibu swali langu kwanini Mzee Sitta alipotea kwenye ulingo wa siasa toka mwaka 1995 mpaka 2005 ?
Mzee Sitta alikuwa mbunge wa Urambo toka 1975 mpaka 1995.
1995 aliangushwa kwenye kinyang'anyiro na Prof. Juma Athumani Kapuya. Rais Mkapa akamteua kuwa boss wa TIC
Then 2005 Urambo iligawanywa kuwa majimbo mawili. Urambo mashariki (ambapo Sitta akarejea tena Bungeni) na urambo magharibi (ambalo kwa sasa ni jimbo la kaliuwa ambalo lilishikiliwa na Prof. Kapuya kabla hajapigwa chini na Magdalena Sakaya)

Huenda mtoa mada akaja na clarifications kutetea hoja yake. Maana kwa sasa tubaki kwenye hoja ya JK na BKM kama anavyokuja na epsiode ya 4 leo
.
 
Makundi ndani ya ccm yanatabia ya kutulia kwa mda tu, nakuhakikishia kundi LA lowasa na membe yataungana, in swala LA mda tu wamejifunza kutokana na makosa waliyoyafanya. Nakuhakikishia hawatarudia tena makosa
Not under this regime.
 
Ukipandisha mshahara harafu mfumuko wa bei ukawa 15.7 unasaidia nini?

Madeni yalisamehewa kwa msamaha ambao Ben iliupambania wewe unaleta drama za TRA ambao ndio wezi wakubwa ndio maana unaona jpm anawatumbua maCO wao kila siku

Mwislam ukimpa nchi umeakila kitu ni kula na kutumbua sherehe asubuhi na mchana kama mzaramo
mkapa hizo hela za kulipa madeni angezipata wapi kama sio mwinyi kuwawezesha watz wafanye biashara kisha akaanzisha TRA mwaka 1994 ili ianze kazi miaka michache baadae!?..maana enzi zile ukifanya biashara we ni mlanguzi,mhujumu uchumi,huyo jakaya mzururaji ndiye aliyeajiri watu wengi tangu awamu ya kwanza iajir,alipandisha mishahara na stahiki zingine hadi mtumishi wa umma akawa mtu katika watu,akajenga barabara 10000km+,akajenga mloganzila,udom,benjamin mkapa hospital(dom),udahili elimu ya juu ukaongezeka,uchumi ukakua kwa 7%+(na ukaonekana mtaani),akaboresha muhimbili,bomba la gesi nk
 
mkapa hizo hela za kulipa madeni angezipata wapi kama sio mwinyi kuwawezesha watz wafanye biashara kisha akaanzisha TRA mwaka 1994 ili ianze kazi miaka michache baadae!?..maana enzi zile ukifanya biashara we ni mlanguzi,mhujumu uchumi,huyo jakaya mzururaji ndiye aliyeajiri watu wengi tangu awamu ya kwanza iajir,alipandisha mishahara na stahiki zingine hadi mtumishi wa umma akawa mtu katika watu,akajenga barabara 10000km+,akajenga mloganzila,udom,benjamin mkapa hospital(dom),udahili elimu ya juu ukaongezeka,uchumi ukakua kwa 7%+(na ukaonekana mtaani),akaboresha muhimbili,bomba la gesi nk
Si kweli TRA ilianzishwa mwaka 1995, and started its operations on 1st July 1996.
 
Ukipandisha mshahara harafu mfumuko wa bei ukawa 15.7 unasaidia nini?

Madeni yalisamehewa kwa msamaha ambao Ben iliupambania wewe unaleta drama za TRA ambao ndio wezi wakubwa ndio maana unaona jpm anawatumbua maCO wao kila siku

Mwislam ukimpa nchi umeakila kitu ni kula na kutumbua sherehe asubuhi na mchana kama mzaramo
huna hoja..nenda kawavalishe pedi nguruwe mwisho wa mwezi huu watakua kwenye hedhi
 
Back
Top Bottom