Kikwete aliona mbali sana kwamba ni kheri Slaa kuwa rais kuliko Tundu Lissu

Grade ya mwisho ya binadamu hapo Lumumba, ambao hata kusoma na kuandika kwa ufasaha ni tatizo ndio huwa mnatumwa kufanya hizi kazi za uchawa.

Issue ya kikwete kuhusu Lissu kuwa mbunge haihusiani na ulichoandika hapo.
Amevaa msuli halafu anajidai kupiga samasoti hadharani huku hajavaa kimwanandani aka kyupinaizesheni!Jamaa bogus huyo hadi keshokutwa asubuhi.
 
Polepole kuuawa kwa kuchapwa nondo ya kichwa, hili jambo litamgharimu sana shetani samia na magenge yake huko mbeleni
 
🀣sikuhizi ujisumbui kukomenti maandishi mengi kivilee πŸ€“
ndugu mdau,
binafsi mbona sijawahi kujisumbua kukoment maandishi mengi au machache humu jukwaani?

daima hua naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, bila kuchoka wala kukata tamaa, kwasababu kueleza ukweli kizalendo ni Neema na Baraka kutoka kwa Mungu mwenyewe. Na si kila moja amejaaliwa karama hii ya kipekee sana πŸ’
 
Grade ya mwisho ya binadamu hapo Lumumba, ambao hata kusoma na kuandika kwa ufasaha ni tatizo ndio huwa mnatumwa kufanya hizi kazi za uchawa.

Issue ya kikwete kuhusu Lissu kuwa mbunge haihusiani na ulichoandika hapo.

Nilipoamini CCM inaokota okota watu, kuna Kata iko Sehemu hivi katibu wake wa CCM kata, hajui kusoma wala kuandika, na hajawahi kuingia darasani, kazi yake kuwapa vitongoji na mabalozi wamuandikie mi hatsari na mambo mengine ya chama.
Buree kabisaa hawa mboga mboga.
 

Wee ni muongo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee ni muongo, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kumdanganya mdau yeyote yule wa jf, hasa mwenye uelewa na ufahamu mdogo juu ya mambo haya, ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, kitu ambacho binafsi, kama mwanasiasa muandamizi siwezi kufanya.

Nashauri wadau wote wa JF kuendelea kuniamini na kunifutilia kwa karibu na kwa umakini mkubwa kwasababu, maelezo yangu, uchambuzi wangu na ufafanuzi wangu ni wa viwango vya kimataifa na itawasaidia sana katika kuongeza uelewa na ufahamu wenu juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi kitaifa na kimataifa πŸ’
 
hii ni ngori πŸ’
 
Jibu hoja za Lissu wewe malaya.
 
Jibu hoja za Lissu wewe malaya.
Kwani mi mwanasheria au wakili? Au siku hizi kila mtanzania ni mwanasheria. Ndo mana kila mtu ni mchambuzi in favor of Lisu. Sheria haziko hivyo ndugu yangu. Subilini uamuzi wa majaji ili anyongwe vizuri
 
Ebu rusha hapa hayo matusi tuyaone.
 
Mrembo wa manyara hujambo?
 
Hata hizo akili za darasani ni ya kawaida tu, wenzake wana First Class za LLB, ye ana nini? Sanasana ubishi, wenye akili zao hawanaga kelele. Ngosha anyooshwe na Nassoro Katuga
 
Ingia humo πŸ‘‰πŸΏ πŸ—‘οΈ na bandiko lako
 
ujumbe wako haujaja mahala sahihi,jaribu kwa wale chipukizi wenu
 
Kwa yale majizi lazima yasimpende lissu mkata shombo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…