Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
alipata zanzibar.. si mlituona mapimbi pale tulipokua tunaanzisha ma mikutano kibao.. mkatuita uamsho.. sasa ona.. kila kona ya nyinyi msojielewa mnazungumza kitu amabacho mmetuwekeandani sisi,,,, uuuuuu .. daima tutaburuza tangala wanyika hilo u diggggggg.......real talk and u know it...
Porojo zingine mpya. Hivi ulishachukuwa Uraia wa USA? au bado uko mafichoni?
Porojo zingine mpya. Hivi ulishachukuwa Uraia wa USA? au bado uko mafichoni?
Hili ni swali ambalo jibu lake liko wazi; kuwa Rais Kikwete hakuwa na madaraka hayo. Hata hivyo, wapo wanaoamini kuwa kwa vile Rais kaamua kufanya kitu basi kitu hicho ni halali.
Mimi na baadhi yetu tumekataa kuutambua mchakato huu wa Katiba Mpya kwa sababu ni haramu; haukuanzishwa na chommbo halali na hata hivi sasa matatito tunayoyaona na yatakayotokea mbeleni (kwenye Bunge la Katiba na Kura ya Maoni) itakuwa ni mwendelezo tu wa kosa hili kubwa.
HUU NI MCHAKATO HARAMU. Sikiliza HOJA MARIDHAWA.
Si CCM kama chama wala viongozi wake wakuu walikuwa tayari kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya!Hili ni swali ambalo jibu lake liko wazi; kuwa Rais Kikwete hakuwa na madaraka hayo. Hata hivyo, wapo wanaoamini kuwa kwa vile Rais kaamua kufanya kitu basi kitu hicho ni halali.
Mimi na baadhi yetu tumekataa kuutambua mchakato huu wa Katiba Mpya kwa sababu ni haramu; haukuanzishwa na chommbo halali na hata hivi sasa matatito tunayoyaona na yatakayotokea mbeleni (kwenye Bunge la Katiba na Kura ya Maoni) itakuwa ni mwendelezo tu wa kosa hili kubwa.
HUU NI MCHAKATO HARAMU. Sikiliza HOJA MARIDHAWA.
mbona haujibu hoja
stereotype
Porojo zingine mpya. Hivi ulishachukuwa Uraia wa USA? au bado uko mafichoni?
Nadhani alifuata ushauri wa Dr.W.Slaa, kuwa akichukuwa nchi ndani ya siku 90 atakuwa kaishaandika katiba mpya.