Kikwete alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa misukosuko

Mahubiri haya yalikuwa kwenye misa ya kwanza au ya pili?
 
Mama Tanzania amepitia kipindi kigumu sana. Mkwere akafuatiwa na bingwa mwingine wa visasi. Alipotoweka, akaingia mama ambaye kamweka Mbowe jela kwa michongo. Wale makomandoo wakadanganywa na Urio kuwa wanaenda kufanya kazi ya ulinzi. Mwishoe wakakamatwa kwa ugaidi. Hadi leo hii wako ndani kwa makosa ya ugaidi!!
 
Duuu
 
Tungekuwa na utaratib Kama nchi ya kuwa na open vetting, Kama ilivyo nchi zingine asingekuwa rais wa nchi hii,

Kwa tukio hlo tu, alifanya Jambo sahihi ktk mda ambao haukuwa sahihi, au Bila taratib sahihi, amekaa miaka Zaid 3 na hlo Jambo aliliona alipaswa kusubri tu wakati wa likizo angeenda kulitolea ufafanuzi kwenye ngazi husika,

Na ndo maana nchi imejaa visasi vingi Sana kumbe Ni zao la viongozi wenye visasi, anyway kunasiku isiyokuwa na jina watu watakuja kujib.
 
...we jamaa una uzandiki sana na chuki juu ya huyu mstaafu.
 
Vipi kuhusu mke na watoto wake, au aliwafuata baadae baada ya kupangiwa kazi nyingine??
 
JF
JF ya zamani🔥🔥
 
Wakimwita NANGA ,wakimanisha nn mkuu
 
uliyoyaandika ni ya kweli hata mm nimewahi kuyasoma kutoka kwa waandishi mbalimbali na yanafanana kabisa na ulichokiandika.wtu wa namna hiyo wako wengi tu humu nchini.
 
Sasa bwana kumbe Kikwette (JK) ilikuwa inamuuma sana sana, yaani mno! Sasa haieleweki kama ilikuwa kweli ni kwa uzalendo ua wivu tu akaandika barua kwa Rais kipindi hicho JK Nyerere.
Milkataba mibovu na ya kiulaghai aliyoliingiza Taifa wakati wa utawala wake ndio uzalendo au?
 
Daah!Umeongea na umeeleweka.
 
Sayore na mzee Mwamindi kulikuwa na tofauti gani hata Mwamindi afanyiwe fitina katika ukulima wake?.
 
Ujamaa na kujitegemea....

Azimio la Arusha halikuruhusu mtumishi wa umma kuwa mjasiriamali....tena kwa kiwango hicho cha aliyekuwa mkuu wa chuo (TMA)....

Mh.rais mstaafu alikuwa sahihi....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Azimio la Arusha halikuruhusu UJASIRIAMALI kwa mtumishi wa umma sembuse makambini ?!!!![emoji15][emoji15]

Una uhakika JK kutuma hiyo barua halikuwa miongoni mwa majukumu yake?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…