Kakuambia Nani??Raila Odinga baba tunaimani utaivusha kenya yetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakuambia Nani??Raila Odinga baba tunaimani utaivusha kenya yetu!
Facial expression ya mzee Kikwete akiwa na Raila ni tofauti akiwa na Ruto. Uso wa Kikwete umekuwa angavu zaidi pichani alipokuwa na Raila kuliko alipokuwa na Ruto. Au wewe unaonaje Bwashe? Hii tafsiri yake ni kubwaNi jambo jema
Biden Ni kijana?
Katumwa na mabeberu kuona nani ana maslahi mazuri kwa wazungu na ndiye awe rais. Ni kama bongo tu, Dkt Magufuli akafaMheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nyakati tofauti, amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya Kwanza, na Raila Odinga wa Umoja wa Vyama vya Azimio la Umoja. Mgombea wa wa Azimio la Umoja Raila Odinga, aliambatana pia na Mgombea wake Mwenza Martha Karua.
View attachment 2317337View attachment 2317338View attachment 2317339View attachment 2317341View attachment 2317342View attachment 2317343
Akikusikia atakuuliza: Huwa unanikokea moto?
Odinga ni mzee sana, si apumzike?
Kwa siasa za kenya zenye mwelekeo wa kikabila labda useme atawavusha wajaluo!! Wengine mtaishia kunawa tu! Tribalism in kenya is entangled within their DNA and they are completely helpless against it!! If you ask them, they hate it because they know how brutal it is, however they simply cannot do without it!! The fact that each candidate sought a kikuyu as his running mate, this choice was tribal informed, targeting the numbers from the kikuyu tribe!! Almost every Kenyan has been a victim of tribalism at one point or another, yet they are completely powerless to fight against it!! #prayforkenya#Raila Odinga baba tunaimani utaivusha kenya yetu!
Kikwete is too diplomatic!! He simply cannot fall into that minor trap!! Sema tu ni kuwa Raila alifanikiwa kumchekesha na kumfanya asioneshe tensheni yoyote! Halafu Raila ni mzoefu wa shughuli hizi!! Ruto was too tense!!Facial expression ya mzee Kikwete akiwa na Raila ni tofauti akiwa na Ruto. Uso wa Kikwete umekuwa angavu zaidi pichani alipokuwa na Raila kuliko alipokuwa na Ruto. Au wewe unaonaje Bwashe? Hii tafsiri yake ni kubwa
Hatoshinda huyuRaila Odinga baba tunaimani utaivusha kenya yetu!
Time will tell!Hatoshinda huyu
yeye mwenyewe pia analijua hilo, na ndiyo maana anamshambulia sana Uhuru eti kamsaliti - ha ha ha haHatoshinda huyu