Your arguments are too shallow, no disrespect!!Akili kwako ni kusoma chuo kikuu! Lakin sio inayokuwezesha kuwa na maisha mazuri!!! Ipo kazi! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Siku ukijua kutofautisha kati ya akili nyingi na kumiliki mali nyingi, tutajadiliana vizuri.Akili kwako ni kusoma chuo kikuu! Lakin sio inayokuwezesha kuwa na maisha mazuri!!! Ipo kazi! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Ahaaa tumerudi kulekule kwenye Ashkenazi Jews...Siku ukijua kutofautisha kati ya akili nyingi na kumiliki mali nyingi, tutajadiliana vizuri.
Au nurse na umeenda na mkeo mjamzito anataka kujifungua ๐๐Anaonekana ni mhitumu wa formfour huyu, hebu niambie leo hii hicho kichwa ukikute TRA๐ .
Kumbe bado unakumbuka mzizi mkuu wa mada yetu?Ahaaa tumerudi kulekule kwenye Ashkenazi Jews...
Huyu 'cheka cheka' anaonesha alikuwa na bifu kali sana na Magu.
Hata haamini kwamba ameshafunga kauli na hawezi kujitetea tena.
Really..... Africa, stupid Africa!! Ungeongezea na Europe stupid Europe maana mpaka leo hii akina Hitler, Stalin na Mussolini wanaongelewa tena kwa hasira sana. Na wao pia waliogopwa walipokuwa hai na nguvu za dola. Watu wasingeandika historia basi.Maiti hasemwi.Angeyasema hayo wakati JPM yupo hai.Kwa nini aogope?Of course yeye hapaswi kumuogopa JPM.
This is nonsense yani mnamponda mtu ambaye hawezi jitetea? Africa, stupid Africa!!
Jisemee mwenyewe usiseme 'nobody'Kikwete analazimisha heshima lkn no body respects him !
Umegeuka Izraili mtoa roho kwamba unajihakikishia mtu fulani hatakuwepo, wewe una uhakika?Mungu mwema na yeye siasa za 2025 hatashuhudia hadi uchaguzi maandiko yanasema bado bendera iko nusu mlingoti
Two wrongs don't make one right Mkuu, hii kama imetafsiriwa vibaya iingie kwenye records kama slip of the tongue, maana lengo ni kufariji na hakuna uongo aliouongea JK ni ukweli mtupu.Wakati jiwe anawakandia wenzake hadharani mbona hamkusema haya
Mnapenda kukuza mambo sana! Si sahihi.๐๐Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.
Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.
Mbona Mbeki aliondolewa madarakani wakati ni mzee? Pia Zuma amefungwa pamoja na uzee wake.Kama sio Mkapa kuingilia kati JPM asingekuwa rais leo hii, na wakati huo akishakuwa mstaafu tayari. Afrika tunao utamaduni wa seniority, wazee kuheshimiwa kauli zao na ushauri wao.
Please kasome papers kuhusu Brain development from pregnancy to 3 years, naomba usiache hata papers 3,. serious papers then urudi uniambie kama una msimamo huu huu, kingine, nitakutafutia paper Moja mtu amefanya tafiti zaidi ya miaka 8 na swali lilikuwa Moja tu kwann waisrael wana akili, ukiitafuta utaipa, ukisoma utaelewa kwa namna gani nurture ni kitu muhimu sana kutengeneza jamii ya watu wenye uwezo kiakili
Marehemu kuongelewa ni ujinga!!!Really..... Africa, stupid Africa!! Ungeongezea na Europe stupid Europe maana mpaka leo hii akina Hitler, Stalin na Mussolini wanaongelewa tena kwa hasira sana. Na wao pia waliogopwa walipokuwa hai na nguvu za dola. Watu wasingeandika historia basi.
Binadamu kuongelewa ni jambo la kawaida, hata akiwa amekufa ataongelewa kwa mema au mabaya yake.
Punguza hasira, lete majibu kistaarabu na siyo kuita wenzako wajinga.Marehemu kuongelewa ni ujinga!!!
Tena cha ajabu mnauliza maswali aliyoyapasa kujibu yeye!!!
Nendeni kaburini mkamfufue basi awajibu!!!
Unaandika ujinga mtupu kuhusu Adolf Hitler.Hao mataifa mengine ya ulaya kama Uingereza wanamsengenya marehemu kwa kuwa aliwaumiza wao na kudondosha uchumi wao!!!
Wakati Adolf Hitler anaazisha vita Ujerumani ilikua poor na wananchi walikua na hali mbaya sasa nieleze Wajerumani walipata hasara gani!!!
Kumbuka Adolf Hitler alianzisha WII baada ya GED niambie alileta hasara gani Ujerumani wakati tayari kulikua na hasara.
Ukiongelea Udikteta hata China imeyapitia,Russia,North Korea,Japan.
Hivi unajua hata white house ya USA imejengwa na watumwa.
Kuna tofauti gani kati ya utumwa na Udikteta.
UTAJUA HUJUI!!! HAMNA VISION KABISA KAZI KUULIZA MASWALI WA KUJIBU HAKUNA CHA AJABU MNASUBIRIA MJIBIWE NA VIONGOZI WA SASA WENYE CHUKI ZAO BINAFSI NA JPM PAMOJA NA DEVELOPED COUNTRIES.
๐๐๐Hasira ipo wapi?Rudi darasani ukajifunze matumizi ya alama ya uandishi '!' ukatoe ujinga uelimike.Mimi nimeweka msisitizo!Unachojua ni kuwa '!' inamaanisha ukali wa kauli?Punguza hasira, lete majibu kistaarabu na siyo kuita wenzako wajinga.
Issue ya kufufua imetokea wapi? Mjinga ni wewe sasa umepata kigugumizi unazunguka zunguka tu.
Kwa hiyo ndio kusema Kikwete kastaafu na akili zimekwisha.Unaenda kwenye msiba unaanza kuongea mambo mengine kabisa yasiyo husika na msiba.Hii ni laana ya aliyoyafanyaRais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza barabara.
Na ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa katika jamii ya kitanzania wapo wanaoamini kuwa kama mganga akimwambia anakuloga huamini moja kwa moja na akiambiwa kuwa ameoteshwa na kitu chochote huamini hivyo hivyo.
Aidha hiki ni kipande cha clip alichosema msibani hapo.
๐ ๐ ๐Unachanganya sana mambo, lishe bora hasa katika umri mdogo ni muhimu sana kuendeleza ubungo wa mtoto ila lishe bora haimaanishi kula sato na dagaa wa kanda ya ziwa, hiyo ni misconception kama sio uongo mkubwa unaoaminiwa na watu wengi wa kanda ya ziwa.